PostGE2025 Msimamo wa vijana waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wale vijana tulichowafanya sasa wamenyooka hata wakiona kituo cha polisi mbele lazima wabadili njia
Hii ni propaganda, wahuni wameandaa vimemo vya kihuni ili kuwahamasisha watu watoke kwa wingi.
Wale vijana hawana hamu na vurugu, hata wakimwona sungusungu lazima wamwamkie
 

Ngoja tuone mkuu. Wanasema muda utaongea 😃
 
Huwezi kubadilisha dhamira ya mtu kirahisi hivyo
 
Ni muhimu sasa watawala wa ccm wajifunze kuwa mbinu zao za zamani zimepitwa na wakati, yaani zime expire, hazifanyi kazi kwa sasa. Kama hawawezi kubadilika na kuendana na muda, wakubali yaishe
Eti Wassira ndio mwanamkakati wa CCM, ana kipi kipya??
 
Ni muhimu sasa watawala wa ccm wajifunze kuwa mbinu zao za zamani zimepitwa na wakati, yaani zime expire, hazifanyi kazi kwa sasa. Kama hawawezi kubadilika na kuendana na muda, wakubali yaishe
Chama Cha Mafisadi (CCM) kilisha jichokea... Baado Wana mbinu za Nyerere za miaka ya 90... Saivi watu wamebadilika wanahitaji uwajibikaji serikarini, njia pekee ya kutuliza hizi ghasia kuwasikiliza vijana wanataka nini.? Wawape mahitaji yao.
 
Mpaka apa tulipo bila ya viongozi wa Dini kupewa nafasi ya kutoa miongozo kwa serikali, nchi haiwezi kutoboa..kwa maana viongozi wa kisiasa washakwama..na ndo maana Leo wanatamka hili kesho wanatamka lingine linalokinzana na WA jana...Angalizo Viongozi wa Dini siyo wale machawa tunaitaji viongozi wa Dini wale ambao mpaka Sasa wako na Wananchi..
 
Hicho ni chambo sasa kuleni muone, wale vijana saivi ata nje hawataki kutoka wakiskia neno askari wanaharisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…