PostGE2025 Msimamo wa vijana waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini

PostGE2025 Msimamo wa vijana waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ICC isiwe tegemeo. TUJITEGEMEE wenyewe kutengeneza Tanzania tunayoitaka. Kuitegemea ICC ni kuonyesha udhaifu wa kushindwa sisi kujiamulia mambo yetu wenyewe. Rwanda ilitulia baada ya kufanyia kazi mifumo yake ya ndani ya GACACA . GACACA zilikuwa mahakama za kijamii za Ndani ya Rwanda.

Tutengeneze GACACA zetu itatuepusha na mengi, tuna mambo mengi ya kulinda kama nchi, tukiruhusu ICC tutajikwamisha huko mbeleni!!!
Hata mgogoro wa ndani wa Amerika Miaka ya 1800 ulimalizwa na wenyewe....hawakuita watu wa nje, na mpaka Sasa...Sheria za ndani ya Amerika ndizo kama zipo juu ya sheria za Kimataifa!!! Waligoma askari wao wasishitakiwe ICC, Sasa wamarekani ni wa ovyo kiasi kuamua Sheria zao kuwa juu ya sheria za Kimataifa? Kwa nini na sisi tusiamue kumaliza migogoro yetu kwa taratibu zetu?

Watasema, kwa Sasa mahakama zetu na mifumo mingine Ina mushkeli...basi tuachane na mifumo hii ambayo hatuiamini, tutengeneze GACACA zetu!!!

Yangu ni hayo.
 
Wale vijana tulichowafanya sasa wamenyooka hata wakiona kituo cha polisi mbele lazima wabadili njia
Hii ni propaganda, wahuni wameandaa vimemo vya kihuni ili kuwahamasisha watu watoke kwa wingi.
Wale vijana hawana hamu na vurugu, hata wakimwona sungusungu lazima wamwamkie
Hivi unafikiri maneno yako yana tija kwa wakati huu?? Hivi sasa kuiponya nchi hii ni Mama yenu kuachia ngazi kwa hiyari. Moto wa mabadiliko umeshakolea.
 
Ni muhimu sasa watawala wa ccm wajifunze kuwa mbinu zao za zamani zimepitwa na wakati, yaani zime expire, hazifanyi kazi kwa sasa. Kama hawawezi kubadilika na kuendana na muda, wakubali yaishe
Muda sio rafiki... hili limezungumzwa leo
 
Back
Top Bottom