Msimamo wa VPL: Takwimu za Simba na Yanga ni mbingu na ardhi

Msimamo wa VPL: Takwimu za Simba na Yanga ni mbingu na ardhi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
83404594_1575367079296194_6425982329990152192_n.png


Simba akiwa mbele kwa mchezo mmoja tu;

Yanga wako nafasi ya 8

Yanga iko nyuma kwa point 10

Goal difference ya Simba ni 24 huku ile ya Yanga ikiwa ni 3.

Swali la kujiuliza Yanga wanapata wapi ujasiri wa kubato na Simba? Hapa nimepata majibu kwa nini Yanga walishangilia droo
 
ifikie wakati simba tuache upumbavu badala ya kuwaza jinsi ya kupambana na vilabu bora africa tunawaza yanga
 
Yanga jamani wana matatizo gani? Yani hata uchukue Goal Difference ujumlishie na Points bado hawawezi kufikia points za Simba.

Alafu huku jukwaani na mitaani wana midomo kweli lakini uwanjani ni hewa tupu wanakuwa hivi. 👇
EOVvPN-W4AAfFt5.jpeg
 
Back
Top Bottom