OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jan 15, 2020 #1 Simba akiwa mbele kwa mchezo mmoja tu; Yanga wako nafasi ya 8 Yanga iko nyuma kwa point 10 Goal difference ya Simba ni 24 huku ile ya Yanga ikiwa ni 3. Swali la kujiuliza Yanga wanapata wapi ujasiri wa kubato na Simba? Hapa nimepata majibu kwa nini Yanga walishangilia droo
Simba akiwa mbele kwa mchezo mmoja tu; Yanga wako nafasi ya 8 Yanga iko nyuma kwa point 10 Goal difference ya Simba ni 24 huku ile ya Yanga ikiwa ni 3. Swali la kujiuliza Yanga wanapata wapi ujasiri wa kubato na Simba? Hapa nimepata majibu kwa nini Yanga walishangilia droo
Mbobo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 1,392 Reaction score 1,818 Jan 15, 2020 #2 Ligi iishe hata kesho Sent using Jamii Forums mobile app
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Jan 15, 2020 #3 Wanajua hawana uwezo ila yowe ndio debe
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jan 16, 2020 #4 Wapo na maumivu ya 3 O'clock Shadeeya na wenzie
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jan 16, 2020 #5 Nasikia Katiba Yanga ukurasa wa mwisho inasema " ukikutana na shabiki wa Simba, bishana ikiwezekana pigana" ....
Nasikia Katiba Yanga ukurasa wa mwisho inasema " ukikutana na shabiki wa Simba, bishana ikiwezekana pigana" ....
C chamaclotus JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 1,079 Reaction score 2,273 Jan 16, 2020 #6 ifikie wakati simba tuache upumbavu badala ya kuwaza jinsi ya kupambana na vilabu bora africa tunawaza yanga
ifikie wakati simba tuache upumbavu badala ya kuwaza jinsi ya kupambana na vilabu bora africa tunawaza yanga
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,077 Reaction score 8,828 Jan 16, 2020 #7 Kagere iliwapiga tatu buyu Sent using Jamii Forums mobile app
MR KUO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,678 Reaction score 3,818 Jan 16, 2020 #8 chamaclotus said: ifikie wakati simba tuache upumbavu badala ya kuwaza jinsi ya kupambana na vilabu bora africa tunawaza yanga. what the fvck Click to expand... Usipanic mkuu, hao yanga ndo wanatuchokoza. Sent using Jamii Forums mobile app
chamaclotus said: ifikie wakati simba tuache upumbavu badala ya kuwaza jinsi ya kupambana na vilabu bora africa tunawaza yanga. what the fvck Click to expand... Usipanic mkuu, hao yanga ndo wanatuchokoza. Sent using Jamii Forums mobile app
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jan 16, 2020 #9 Wazee wa hirizi Mbumbumbu Sent using Jamii Forums mobile app
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Jan 16, 2020 #10 Yanga jamani wana matatizo gani? Yani hata uchukue Goal Difference ujumlishie na Points bado hawawezi kufikia points za Simba. Alafu huku jukwaani na mitaani wana midomo kweli lakini uwanjani ni hewa tupu wanakuwa hivi. 👇
Yanga jamani wana matatizo gani? Yani hata uchukue Goal Difference ujumlishie na Points bado hawawezi kufikia points za Simba. Alafu huku jukwaani na mitaani wana midomo kweli lakini uwanjani ni hewa tupu wanakuwa hivi. 👇