Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anakuona....!!!Haijawahi kutokea na nadhani haitatokea Deadbody nikamuhonga mwanamke zaidi ya 5000Tsh.
Mimi ni miongoni mwa wanaJF wenye msimamo mkali.
Mpaka sasa sijatoa hata 100.
Bora tu niitwe dume suruali kuliko kuwa KILEMUTUZI kwa ndani
Kweli wajinga hawataisha nchi hii.Acheni utani nyie kuhonga ni muhimu hasa kwa mwanamme rijali mimi leo mchana nimetoka kumtumia demu 100000/= wakati wala sijamgegeda ila ameniambia kuwa kapata hasara ktk biashara anayoisimamia na boss wake anataka kumpeleka polisi,nikaona nimtumie wakati namtongoza sikuhiyohiyo nilikuwa nasafiri naenda Tanga na yeye yupo Sumbawanga, na ameshukuru sana namimi ninaamini siku nikienda nitapewa mzigo
Kumbe ni ww umemtumia Niko nae hapa samaki samaki tunaitumbua hio elaAcheni utani nyie kuhonga ni muhimu hasa kwa mwanamme rijali mimi leo mchana nimetoka kumtumia demu 100000/= wakati wala sijamgegeda ila ameniambia kuwa kapata hasara ktk biashara anayoisimamia na boss wake anataka kumpeleka polisi,nikaona nimtumie wakati namtongoza sikuhiyohiyo nilikuwa nasafiri naenda Tanga na yeye yupo Sumbawanga, na ameshukuru sana namimi ninaamini siku nikienda nitapewa mzigo
Mkuu si mwili wako ulisha kufa?!!sasa unawezaje kuhonga??Haijawahi kutokea na nadhani haitatokea Deadbody nikamuhonga mwanamke zaidi ya 5000Tsh.
Mimi ni miongoni mwa wanaJF wenye msimamo mkali.
Mpaka sasa sijatoa hata 100.
Bora tu niitwe dume suruali kuliko kuwa KILEMUTUZI kwa ndani
hahahahahahaaaaKumbe ni ww umemtumia Niko nae hapa samaki samaki tunaitumbua hio ela