Msimamo wangu:Kwa mwaka sihongi zaidi ya Tsh 5000

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Haijawahi kutokea na nadhani haitatokea Deadbody nikamuhonga mwanamke zaidi ya 5000Tsh.

Mimi ni miongoni mwa wanaJF wenye msimamo mkali.

Mpaka sasa sijatoa hata 100.

Bora tu niitwe dume suruali kuliko kuwa KILEMUTUZI kwa ndani
 
kuu hv una pesa sana eeeeh? Unathubutuje kuhonga 5000 mm nimekaa na msichana fulani (primary ticha) nakumbuka nimemuhonga jojo za shilingi mia tu tulizokula wote..

Gesti, chakula vinginevyo analipa yeye
 
Baki nazo tu miili hai wapo watatupatia tam kilele na fwedha we pambana na deadbody yako
 
aise mkuu bora wewe
maana mimi hapa
nikipiga hesabu za haraka haraka ishakata 100k tangu mwaka
uanze....
N:B ingawaji nahonga lakini anacho kijusi tayari ni siku chaxhe tu zimebaki
 
Acheni utani nyie kuhonga ni muhimu hasa kwa mwanamme rijali mimi leo mchana nimetoka kumtumia demu 100000/= wakati wala sijamgegeda ila ameniambia kuwa kapata hasara ktk biashara anayoisimamia na boss wake anataka kumpeleka polisi,nikaona nimtumie wakati namtongoza sikuhiyohiyo nilikuwa nasafiri naenda Tanga na yeye yupo Sumbawanga, na ameshukuru sana namimi ninaamini siku nikienda nitapewa mzigo
 
Haijawahi kutokea na nadhani haitatokea Deadbody nikamuhonga mwanamke zaidi ya 5000Tsh.

Mimi ni miongoni mwa wanaJF wenye msimamo mkali.

Mpaka sasa sijatoa hata 100.

Bora tu niitwe dume suruali kuliko kuwa KILEMUTUZI kwa ndani
Mungu anakuona....!!!
 
Kweli wajinga hawataisha nchi hii.
 
Kumbe ni ww umemtumia Niko nae hapa samaki samaki tunaitumbua hio ela
 
Wewe ndiyo mjinga aliyekwambia kuhonga ni ujinga ninani? mbona hata babayako alimuhonga mamayako hadi ukapatikana wewe
 
Nafurahi kuona wafuasi wanaongezeka , maana hili swala la kuhonga honga au kupigwa mizinga sasa limezidi,

Mimi uamuzi kama huu nilishauchukua toka mwaka jana , nafurahi sana maendeleo nayaona na sitishiki kumwambia mdada sina kitu na mambo yanaenda poa tu
 
Haijawahi kutokea na nadhani haitatokea Deadbody nikamuhonga mwanamke zaidi ya 5000Tsh.

Mimi ni miongoni mwa wanaJF wenye msimamo mkali.

Mpaka sasa sijatoa hata 100.

Bora tu niitwe dume suruali kuliko kuwa KILEMUTUZI kwa ndani
Mkuu si mwili wako ulisha kufa?!!sasa unawezaje kuhonga??
 
Back
Top Bottom