Msimamo wangu: Sitapiga kura Uchaguzi Mkuu

Chadema baada ya kuchokwa mmeanza kuogopa Uchaguzi !

Haya Nccr mageuzi wapo tayari kuongoza Wapinzani
Wewe hata umri wa kupiga kura hujafikisha,kakojoe ulale.
 
Unapigaje kura kwenye Uchaguzi FAKE!? On October 25 please stay at home. Don’t waste your time on FAKE election.

 
atakaye kwenda kupiga kura ni mwendawazimu ni kupoteza time tu ama labda kama utalipwa vyenginevyo uchaguzi umemaliza zamani linalosubiriwa ni kumtangaza magufuli tu .
 
Huu ndio msimamo wangu. Sababu ipo wazi kabisa, sioni namna hata dalili kipande kwamba uchaguzi mkuu utakuwa huru na haki.Kama unaiona nionyeshe.
Kura ni siri
Kuja mitandaoni kwa fake id kujinasibu kuwa hutapiga kura haisaidii lolote zaidi kuonesha kuwa umeishiwa pumzi,umeamua kukitosa chama chako chadema
 
Kwa kuonesha hasira zaidi nitaendelea kuwakataa CCM Kwa njia ya kura

Ccm haihitaji kura kukaa madarakani, inahitaji watu wengi vituoni ili waonekane wamechaguliwa na watu wengi. Watu wakiwa wachache vituoni wangalau itafahamika kuwa hawako madarakani kwa ridhaa ya wananchi wengi.
 
We dont care as tutakuwa tumepunguza kura moja isiyo na thamani kwetu.
 
Mimi hata sifuatilii habari za uchaguzi,naapa kutoka sakafu ya koyo wangu katika maisha yangu yote yaliyobakia bila tume huru sitakanyaga kwenye kituo chochote cha kupiga kura!
Chadomo wamepoteza kura ya 5
 
Mkuu hata Mimi mara ya Kwanza na ya mwisho kupiga kura ilikuwa 2015.

Hata haya maboresho ya daftari Mimi hata sikujisumbua kwenda maana Sina ratiba ya kupiga kura uchaguzi ujao
7
 
Halafu baada ya uchaguzi muanze kulia kuwa mumeibiwa kura.

Tulikuwa tunalia kuwa tunaibiwa kura maana matokeo yalikuwa yanabadilishwa. Sasa hivi hatutokei tena kupiga kura ili msipate tabu ya kuiba. Njia ya kura ni ya amani na sahihi ya kupata viongozi. Lakini sio njia pekee ya kupata viongozi.
 
atakaye kwenda kupiga kura ni mwendawazimu ni kupoteza time tu ama labda kama utalipwa vyenginevyo uchaguzi umemaliza zamani linalosubiriwa ni kumtangaza magufuli tu .
11 still counting.......
 
Comment zipo 27 kati ya 27 11 hawatapiga kura kwa sababu za kijingajinga. Ccm itaendelea kukaa madarakani hadi yesu arudi. Maana wapinzani wote hamna akili. Mnarahisisha ushindi kwa ccm halaf mnakjja kulialia kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Mtasubiri saaaaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…