Msimbazi hapakaliki, Chama aendelea kuwa pasua kichwa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Bado kuna sintofahamu juu ya mustakabli wa kiungo Clatous Chama ndani ya Simba SC baada ya kundi la pili la wachezaji kuondoka kuelekea Uturuki kuungana na wenzao kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season) huku Mzambia huyo akiendelea kusalia nchini.

Akizungumzia suala la mwamba wa Lusaka, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameripotiwa kubainisha kuwa suala na Chama linashughulikiwa na uongozi wa juu.

“Kundi la pili limeondoka alfajiri ya leo na Chama hajaondoka kwenda Uturuki, suala lake lipo katika uongozi wa juu wakijaribu kulishughulikia litakapoamriwa basi tutawajulisha." - Ahmedi Ally.

Endeleeni kushupaza shingo kwa kushangilia kuondoka kwa Mayele huku kibanda chenu kinaungua.
 
Aliewaita utopolo aliwaza mbali sana

Triple C wa leo siyo yule tuliyekuwa naye kabla hakakwenda Morocco. Chama AMELOWA hata nchini kwake anaitwa tu Timu ya Taifa lakini hayuko kwenye FIRST 11.

Akibahatika kwenye Chpolopolo anaingia fakika ya 86 kutokea bench

Muacheni aende anapotoka
 
Simba ifike wakati tuachane na hawa maringo

Chama na Sakho hadi sasa hawataki kuichezea timu
Sidhani kama Sakho hataki kuichezea Simba bali Simba ndiyo wanamtafutia soko wamuuze. Wengine tulishatabiri kuuzwa kwa Sakho kitambo sana tena wakati anabezwa na mashabiki wa puyanga.
 
Screenshot_20230717-150706.jpg
 
Bado kuna sintofahamu juu ya mustakabli wa kiungo Clatous Chama ndani ya Simba SC baada ya kundi la pili la wachezaji kuondoka kuelekea Uturuki kuungana na wenzao kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season) huku Mzambia huyo akiendelea kusalia nchini.

Akizungumzia suala la mwamba wa Lusaka, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameripotiwa kubainisha kuwa suala na Chama linashughulikiwa na uongozi wa juu.

“Kundi la pili limeondoka alfajiri ya leo na Chama hajaondoka kwenda Uturuki, suala lake lipo katika uongozi wa juu wakijaribu kulishughulikia litakapoamriwa basi tutawajulisha." - Ahmedi Ally.

Endeleeni kushupaza shingo kwa kushangilia kuondoka kwa Mayele huku kibanda chenu kinaungua.
Popoma njoo toa neno

GENTAMYCINE

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom