Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mambo mengi sana aliboronga!!Magufuli aliboronga?
Hata wewe pia!!Chadema hamtamsahau yule Shujaa
Chadema hamtamsahau yule Shujaa
Mungu amekupa akili, itumie!!Makele yao yooote, nikwasababu hakuwalambisha asali tu.
Umekuja na hoja moja nzuri sana, big Up!
Unajua kitu, hawa wanaopiga kelele kuhusu Magufuli mitandaoni huwa nawaona wameganda akili/fikra zao.
Mazingira yote yaliyowezesha kupatikana Magufuli bado yako vilevile, hakuna chochote kilichobadilika.
Tabia ya KK ya CCM kututeulia Rais wa nchi badala ya kura za watanzania nayo bado iko pale pale.
Tume ya uchaguzi inayomuwezesha kila mgombea wa CCM kushinda urais nayo bado iko pale pale.
Sasa kwanini asipatikane Magufuli mwingine huko mbele ya safari?
Kwa sababu kinachoonekana sasa, ni kama vile tunawaomba CCM wasituletee Magufuli mwingine.
Sasa jiulize, kwani wakati ule CCM wanamteua Magufuli awe mgombea Urais walijua kama angekuja kuwa vile alivyokuwa?
Jibu ni kwamba hawakujua, hivyo kama hawakujua, na wao sio malaika ili wajue mapema, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuja kutokea "Magufuli" mwingine mbele ya safari, mark my words!.
Nazitumia ndio maana nimegundua sasaivi wametulia.Mungu amekupa akili, itumie!!
Kwa kweli wamarekani wangekuwa hawana mifumo ya kudhibitiana, Trump angewapelekesha sana!!Jiwe mwingine atapatikana tu siku zijazo, suala ni kuwa katiba na taasisi imara za kumdhibiti kama ilivyokuwa kwa Trump US.
Wametulia kufanya nini??Nazitumia ndio maana nimegundua sasaivi wametulia.
Hawatalisahau lishetani likubwa la mashetani. Acha lioze liliwe na funza walio na shetaniChadema hamtamsahau yule Shujaa
Mbinguni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli aliboronga nini?
Hebu mwacheni shujaa wetu astarehe Mbinguni.
- Kupambana na mabeberu na vibaraka wao
- Kuwakataa wanasiasa wa upinzani walamba asali
- Kupambana na wauza madawa ya kulevya
- Kuondoa wahalifu wa vyeti feki kwenye Utumishi wa Umma
- Kujenga miundombinu bora nchi nzima na miradi ya kimkakati
- Kuleta uwajibikaji, n.k?
CCM yote iliufyata Wastaafu kama vile hawakuwepo kila Mtu ndani ya CCM AliufyataWakati Magufuli "anaboronga" CCM ilifanya nini kumfanya asiboronge?
CCM ndiyo iliyofaidika kwa Matendo ya Magufuli, yawe mema au mabaya.
Walaumiwe wao
Na kweli kwani CHADEMA IPO Magufuli KALALA CHATO na Hatarudi milele na MileleChadema hamtamsahau yule Shujaa
Wametulia kufanya nini??
Aah Braza, ebu kuwa na shukurani wewe ulikuwa unajua Tanzania ni tajiri? Bila ya kukuambia MagufuliWakati Magufuli "anaboronga" CCM ilifanya nini kumfanya asiboronge?
CCM ndiyo iliyofaidika kwa Matendo ya Magufuli, yawe mema au mabaya.
Walaumiwe wao