Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Salam kwa JF member wote
IKUMBUKWE
*Sina upendeleo na klab yoyote
*Si mtaalam sana wa mpira wa miguu
*Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani
YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025
Haya nayaandika kutokana na ukweli kwamba msimu wa mwaka jana walifanya usajili ulioonekana wa kawaida ila wachezaji ki uhalisia walikuwa ni wazuri na baada ya kufika tz magari yakawaka haswa. Mfano mayele hakuwa na jina kubwa sana alipokuwa anakuja kujiunga na yanga ila ni mchezaji mzuri na mfungaji anaetishia magolikipa. Mayele n mfungaji ambaye kilakocha anatamani kuwa nae. Azizi Ki, Aucho,Bangala na wengine wengi kitu kilichopelekea muungano mzuri wa kikosi. Kocha anakuwa na wakati mgumu wa kujiuliza aanze na wachezaji gani katika kikosi cha kwanza hii inarokana na ubora wa wachezaji.
Msimu uliopita Yanga ilionesha kuwa inalengo na kweli ilithibitika baada ya kuchukua ubingwa wa ligi. Kikosi walicho nacho yanga nathubutu kukilinganisha na kikosi cha Simba cha mwaka 2016/17,2017/18,2019/20
Kutokana na hayo na kutokana na mwenendo wake wa kufanya vizuri kwa mechi za nyumban na za kitaifa na pindi nikiwaangalia uwanjani naona wanawasaha mzuri katika misimuu hii kama kikosi hakitakumbwa na madhila. 2023 naona huu mwaka Yanga wanakila sababu ya kufanya vizuri katika NBC pia shirikisho.
Shirikisho yanga wanakila sababu ya kuvuka na kwenda robo fainali. Huu mwaka ni wa yanga kwa uhakika mkubwa sana ninaona kile walichokifanya Simba,yanga nao wanauwezo wa kukifanya katika misimu hii miwili ya mbeleni. Yanga kutokufanya vizuri watapaswa kujilaumu wao wenyewe maana wanakila kitu ambacho wapinzani wao walikuwa nacho katika misimu yao ya nyuma yani,
Nawatakia Yanga mafanikio katika michezo yao ya kimataifa ambayo inapeperusha vyema bendera yetu ya taifa.
Naona mafanikio makubwa kwa klabu ya yanga kwa mwaka huu wa 2023,2024 ila mwaka 2025 ndio utakuwa mwaka wa timu ya yanga kuwa na ups and down kutokana na kufanyiwa maboreaho ya wachezaji, yani wengi watakuwa wameachwa,wameuzwa na kutakuwa na maingizo mapya ya wachezaji.
Yanga wanapiga hatua nyingine katika mashindano ya kimataifa.
Huu ndo msimu wao,huu ndo muda wa kunawa mikono na kungojea chakula ambacho kinapakuliwa.