Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Nawasalimu nyote.
Hamjambo hapooooooo!!
Hahahaaaaa.
Ok twende moja kwa moja kwenye hoja,ni hivi MISIMU mbalimbali ya ligi hapa duniani hiyooo inaisha ila mingine bado inaishia.
Nina swali dogo tu halihitaji kwenda shule ili ujibu linahitaji akili za kawaida tu.nauliza hivi MISIMU MBALIMBALI YA LIGI HIYO INAISHA JE WEWE UMEWEKA SHINGAPI KWENYE ACCOUNTS ZAKO??au unashangilia na kuwa na mapenzi ya kitu ambacho hakikunufaishi maishani mwako,unakaza fuvu na kubishana ovyo mtaani bila faida yeyote,ndo msimu huo unaishi umenufaika nini na mpira??
Tanzania tunajua CLUB iliyochukua pesa ndefu ni YANGA KWENYE MSIMU huu unaoisha,kimataifa pia nyumbani,wachezaji wamekunja pesa zao za kusajiliwa na pesa nyingi kibao watapewa kulingana na mikataba yao.
Hata kwa timu zitakazo shika nafasi ya pili,yatatu na kuendelea zitapewa fedha kulingana na nafasi zitakazo shika,NBC wanatoa pesa kila nafasi itakayoshikwa na timu husika iwe fedha ndefu au ndogo,pia AZAM Watatoa fedha kwenye kila timu ndani ya ligi ya NBC,je wewe umeweka pesa ngapi kwenye accounts zako juu ya mpira??
MAAFISA UWEKEZAJI kwenye kubet umeweka shingapi kwenye accounts zenu,au mlikuwa mnajaza maji kwenye gunia Leo unashinda kesho waliwa??
Wewe umeweka shingapi kwenye hii misimu inayoisha??au unashabikia kitu ambacho hakikunufaishi kwa lolote??
Nakaribisha mapovu kwa nyote wajinga na wapuuzi mnaoshabikia kitu kisichokupa faida yeyote kwenye maisha yako,wajanja tunaita huo ni uwakiiii..