budebajr JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 380 Reaction score 226 Aug 12, 2020 #1 Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..