Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

Kutokutumia akili na ushamba ni chanzo kimojawapo cha kujizolea aibu katika maisha yako! nani amekuambia "possesion guerentees a win or a league tittle".?

OK, Kwa taarifa yako hizi ni baadhi ya "Highest team possesions in PL History" na wengine walipoteza mechi na hata hawakufanikiwa kuwa mabingwa kwenye misimu husika

Endelea kufurahia hiyo 58%
 
Usifananishe matokeo ya mechi na tabia yako ya kuweka mkeka, toka lini taratibu za mkeka zimeanza tumika mpirani?? Jana yanga kafa!
Ishu ni kwamba siku hizi tumezoea sqna kuifunga yanga, hatusjamgilii!

Lete jumla ya mechi ambazo Yanga ameshinda dhidi ya Simba na zile ambazo Simba ameshinda dhidi ya Yanga.

(Najua huwezi kuleta hapa hizo takwimu, unaogopa zisije kukuvua nguo wewe mwenyewe)
 
sasa mkuu, yaani unataka ligi yetu iwe boring kama Bundesliga au Serie A ambako ni timu moja tu inatawala ligi miaka yote?

waachieni na wenzenu mwaka huu ili kuwepo excitement kwenye ligi yetu bana!!

Ni bora iitwe Bundesliga au Seria A kuliko Mikia kutwaa NDOO ya VPL.
 
Lete jumla ya mechi ambazo Yanga ameshinda dhidi ya Simba na zile ambazo Simba ameshinda dhidi ya Yanga.

Mku unang'ang'ania takwimu za historia, ukiletewa za 5-0 haupendi. Utakufa kwa presha!

Kutokutumia akili na ushamba ni chanzo kimojawapo cha kujizolea aibu katika maisha yako! nani amekuambia "possesion guerentees a win or a league tittle".?
Similarly, who told you that higher transfer fee guarantee a win or league title? Don't you remember what Mbao FC earned from Yanga last season?
 
Ni bora iitwe Bundesliga au Seria A kuliko Mikia kutwaa NDOO ya VPL.
Mwenzio aliweka bondi mke wake iwapo Simba atatwaa ngao, sasa hivi watu wanakula. Wewe komaa na Yanga yako tu kama hujapata kichaa. Washabiki wa Yanga walio wajanja wameacha kabisa kuizungumzia hiyo mechi, sasa hivi wanaanzisha nyuzi za siasa
 
Shishbeib anawafanya mjione kuwa mpo kama manchester vile, ni wakati tu ndio utakaosema nani mkali nani mbovu,afterall mechi moja sio mwamuzi mzuri wa ubora wa timu,asanteni kwa kuja
 
Yaani hawa Mikia wao mafanikio makubwa ni kumfunga Yanga bao 5 hakuna zaidi ya hapo. Si kwenye Taji la Ligi au Ngao ya hisani tunawakimbiza vibaya mno.
Nimefuatilia huu uzi kutoka mwamzo mpaka ulipofikia, nimegundua kuna kitu unakifahamu kuhusu football ila tatizo kubwa kinalofanya uonekane kiazi ni huo ushabiki maandazi uliokua nao.

Uko zaidi kishabiki na si kujadili uhalisia wa football.mkuu chesty amejaribu kukueleza vitu vingi vya mpira lakini bado ukaegemea kwenye ushabiki zaidi.

Mimi ni mshabiki wa timu ya Simba lakini tunapozungumza lugha ya football ushabiki huuweka pembeni.

Ukitaka ujifunze vitu vingi ficha ushabiki wako utapata faida nyingi.
 
Mwenzio aliweka bondi mke wake iwapo Simba atatwaa ngao, sasa hivi watu wanakula. Wewe komaa na Yanga yako tu kama hujapata kichaa. Washabiki wa Yanga walio wajanja wameacha kabisa kuizungumzia hiyo mechi, sasa hivi wanaanzisha nyuzi za siasa
Nilidhani aliweka bondi Nyumba, KUMBE MKE?

Kwa namna wanawake walivyo wengi hivi unashindwaje kujiopolea mwingine? Au serikali imepiga marufuku kuona wake zaidi ya mmoja?
 
Siku ile mlivyokula 2-1 simba wakiwa pungufu hawakuwepo hao?
Kuna kuongea mpira ki ushabiki
Kuna kuongea mpira ki uhalisia
Hata nchi za wenzetu wanalunganisha sana dhamani ya investiment iliyotumika kwenye usajili na teturn yake(perfomance ya timu/mchezaji husiki)
Mpira ni biashara
Simba na yanga wana kawaida ya kutumia pesa nyingi sana kufurahisha washabiki ili wachaguliwe uchaguzi ujao
Wamesahau uwekezaji kwenye vipaji na under 20
Matokeo take misimu yote simba wanawaacha wachezaji wazuri kwa matakwa ya watu wachache bila ku forcus 5 yrs to come
Sasa ligi ya Tanzania ni ngumu sana
Timu za mikoani kama kagera sugar hazizungumziwi katika usajili na wao hawakutumia pesa nyingi kama hawa wakubwa
Angalia ligi itakapoisha tofauti ya point ya timu za bilioni
Na timu za laki tano
Sisi tuendelee kubishana
Madhara yanakuja kuonekana Timu ya Taifa
Sasa jiulize kwa nini upande wa pili hawajapata hizo 1.3bilioni!
Alafu unapoanhalia goals scored angalia pia goals allowed, utapata jibu thamani ya hiyo unaita 1.3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwapo mshabiki wa Yanga kuna tofauti gani na kuwa mshabiki wa vilabu kama Man U, Bayern au Madrid?
Kama sualala Mataji Yanga ndio Nyumbani.
Shishbeib anawafanya mjione kuwa mpo kama manchester vile, ni wakati tu ndio utakaosema nani mkali nani mbovu,afterall mechi moja sio mwamuzi mzuri wa ubora wa timu,asanteni kwa kuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…