Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

Ina maana Simba ile pungufu ni zaidi ya Simba hii kamili? Na kama ni hivyo ina maana kwamba usajili wa mwaka huu umeirudisha timu nyuma badala ya kwenda mbele?

Jana tulikua tunatest mitambo ndio maana akina Juko, Mkude, Ndemla, Boko, walikaa benchi. Yanga ndio waliokua na kibarua kigumu cha kuwathibishia mashabiki wao kua sio wanyonge kwa simba.
 
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.

tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.

Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.

Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.

Hawa jamaa zetu wana issue ya mfumo wa timu yao.

Wanajaza viungo wengi na ukiwathibiti hapo hawana plan B. Strike Force waliyonayo haina faida kwa mfumo wao. Sielewi kama ni matakwa ya kocha au akina Makofia. Hata traditional strikers wanaishia kuwa viungo tu.

Watapata sare nyingi sana msimu huu
 
Jana tulikua tunatest mitambo ndio maana akina Juko, Mkude, Ndemla, Boko, walikaa benchi. Yanga ndio waliokua na kibarua kigumu cha kuwathibishia mashabiki wao kua sio wanyonge kwa simba.
Unyonge wa kuwa bingwa mara tatu mfulilizo ndiyo tunautaka sana Yanga
 
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.

tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.

Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.

Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.

Mimi ni mpenzi wa Simba ila ni mwanasports sio shabiki. Usajili wa Simba sio mbaya na wala safu ya ushambuliaji sio mbaya. Simba inaumizwa na uwezo wa makocha wetu kujua ni wachezaji gani wanatakiwa kupartner ili kuleta ushindi mkubwa.

Shida kubwa sana ya Simba kwa sasa ni midfield, imekufa kabisa. Na si kwamba hatuna midfield na hasa holding midfield mwenye akili ya kupokea mipira na kuisambaza na kuifanya timu kuflow vizuri ili akina Okwi, Kichuya, Mo, Boko kufunga magoli mengi, isipokuwa tumeamua 'kisiasa' nadhani kumuacha/kutomchezesha one of the best holding midfielders in the country (JONAS MKUDE).

Tangu kijana huyu ameanza kuwekwa benchi kwa sababu ambazo sizijui, midfield ya Simba imekufa kabisa!! Hakuna mechi ambazo Simba imecheza za majaribio ambazo MKUDE amekaa benchi ambapo Simba ilichangamka katikati.

Na hata kwenye mechi ya Ngao ya Hisani, katikati Simba palikufa tangu mpira unaanza, lakini kocha aligoma kabisa kufanya mabadiliko katikati.

Ilikuwa ni kumtoa Ally Shomari (beki wa kulia), ambaye mechi ya jana ilimzidi kidogo, na kumbadilisha Kotei akacheza beki wa kulia halafu katikati angemuweka MKUDE, nina uhakika huyo Shishimbi usingemsikia kama unavyomsikia kwa sasa.

Mwisho, tathmini yangu ya mwanzo kabisa nikiwa mwanaSimba, ligi hii, kama figisu hizi zitaendelea natabiri Yanga kuchukua ubingwa tena kwa idadi ya magoli kama sio kwa pointi chache.
 
Jana tulikua tunatest mitambo ndio maana akina Juko, Mkude, Ndemla, Boko, walikaa benchi. Yanga ndio waliokua na kibarua kigumu cha kuwathibishia mashabiki wao kua sio wanyonge kwa simba.

Hakukuwa na kutest mitambo jana, tangu usajili mpya Mkude amekuwa akiwekwa benchi ilhali katikati Simba imekuwa haina mwelekeo.

Simba hii ni nzuri na inaweza kuwa inavuna magoli mengi ila kocha Simba kwa sasa hatuna. Hakuna timu Tanzania hii inayoweza kumuweka Mkude benchi.

Infact hata ukiwapa Yanga leo huyo Mkude, Shishimbi atakaa benchi. To me Mkude is the best holding midfielder in the country for now. Jana kwenye timu zote mbili Yanga na Simba hakukuwa na namba 6 yenye uwezo unaokaribia wa Mkude, and yet hakuchezeshwa. Hiyo ndio Tanzania.
 
Ndo mlikula kichapo kutoka kwa watu pungufu. Mechi ya tatu hii mwaka huu mnakutana na simba mnakalishwa.

mechi 1 - Simba 1 vs 1 Yanga
mechi 2 - Simba 2 vs 1 Yanga
mechi 3 - Simba 0 vs 0 Yanga

hebu nitajie Mechi 3 ambazo unazozizungumzia ambazo zote Yanga amekalishwa na Simba?
 
Ndo mlikula kichapo kutoka kwa watu pungufu. Mechi ya tatu hii mwaka huu mnakutana na simba mnakalishwa.

Tunapoanza LigiKuu, lengo kuu la mabingwa wa kihistoria wa ligikuu Tanzania bara linakuwa kuchukua "Ubingwa". Hatujiandai kumfunga Simba.

Tafuta rekodi za mechi za Simba na Yanga then njoo na majibu ya maswali haya.
1. Nani amfunga mwenzake jumla ya mechi nyingi
2. Nani kamfunga mwenzake jumla ya mabao mengi

Suala la kutaka kumfunga Simba tulishalimalizaga kabisa. hebu tafuta hayo majibu then urudi hapa.
 
Mimi ni mpenzi wa Simba ila ni mwanasports sio shabiki. Usajili wa Simba sio mbaya na wala safu ya ushambuliaji sio mbaya. Simba inaumizwa na uwezo wa makocha wetu kujua ni wachezaji gani wanatakiwa kupartner ili kuleta ushindi mkubwa.

Shida kubwa sana ya Simba kwa sasa ni midfield, imekufa kabisa. Na si kwamba hatuna midfield na hasa holding midfield mwenye akili ya kupokea mipira na kuisambaza na kuifanya timu kuflow vizuri ili akina Okwi, Kichuya, Mo, Boko kufunga magoli mengi, isipokuwa tumeamua 'kisiasa' nadhani kumuacha/kutomchezesha one of the best holding midfielders in the country (JONAS MKUDE).

Tangu kijana huyu ameanza kuwekwa benchi kwa sababu ambazo sizijui, midfield ya Simba imekufa kabisa!! Hakuna mechi ambazo Simba imecheza za majaribio ambazo MKUDE amekaa benchi ambapo Simba ilichangamka katikati.

Na hata kwenye mechi ya Ngao ya Hisani, katikati Simba palikufa tangu mpira unaanza, lakini kocha aligoma kabisa kufanya mabadiliko katikati.

Ilikuwa ni kumtoa Ally Shomari (beki wa kulia), ambaye mechi ya jana ilimzidi kidogo, na kumbadilisha Kotei akacheza beki wa kulia halafu katikati angemuweka MKUDE, nina uhakika huyo Shishimbi usingemsikia kama unavyomsikia kwa sasa.

Mwisho, tathmini yangu ya mwanzo kabisa nikiwa mwanaSimba, ligi hii, kama figisu hizi zitaendelea natabiri Yanga kuchukua ubingwa tena kwa idadi ya magoli kama sio kwa pointi chache.
Mimi ni mpenzi wa Simba ila ni mwanasports sio shabiki. Usajili wa Simba sio mbaya na wala safu ya ushambuliaji sio mbaya. Simba inaumizwa na uwezo wa makocha wetu kujua ni wachezaji gani wanatakiwa kupartner ili kuleta ushindi mkubwa.

Shida kubwa sana ya Simba kwa sasa ni midfield, imekufa kabisa. Na si kwamba hatuna midfield na hasa holding midfield mwenye akili ya kupokea mipira na kuisambaza na kuifanya timu kuflow vizuri ili akina Okwi, Kichuya, Mo, Boko kufunga magoli mengi, isipokuwa tumeamua 'kisiasa' nadhani kumuacha/kutomchezesha one of the best holding midfielders in the country (JONAS MKUDE).

Tangu kijana huyu ameanza kuwekwa benchi kwa sababu ambazo sizijui, midfield ya Simba imekufa kabisa!! Hakuna mechi ambazo Simba imecheza za majaribio ambazo MKUDE amekaa benchi ambapo Simba ilichangamka katikati.

Na hata kwenye mechi ya Ngao ya Hisani, katikati Simba palikufa tangu mpira unaanza, lakini kocha aligoma kabisa kufanya mabadiliko katikati.

Ilikuwa ni kumtoa Ally Shomari (beki wa kulia), ambaye mechi ya jana ilimzidi kidogo, na kumbadilisha Kotei akacheza beki wa kulia halafu katikati angemuweka MKUDE, nina uhakika huyo Shishimbi usingemsikia kama unavyomsikia kwa sasa.

Mwisho, tathmini yangu ya mwanzo kabisa nikiwa mwanaSimba, ligi hii, kama figisu hizi zitaendelea natabiri Yanga kuchukua ubingwa tena kwa idadi ya magoli kama sio kwa pointi chache.

Nimependa uchambuzi wako ila umekosea mwisho kabisa pale uliposema kuwa Jonas MKUDE angefanikiwa kabisa kuzima cheche za PAPPY KABAMBA TSHITSHIMBI a.k.a TSHITSHI BABY.

Ameshindwa KOTEI leo hii uje Mkude aje kumuweka mfukoni TSHITSHI BABY...? Acha utani wewe. LOL
 
Ninachoona yanga mlijiandaa kufungwa. Kilichowashtua ni kufungwa kwa penati. Mpira ulichezwa na timu zote lakini lawama kwa simba! Kumbe kila mtanzania anaipenda simba. Maana kila mtu analalamikia safu ya ushambuliaji ya simba.
 
Infact hata ukiwapa Yanga leo huyo Mkude, Shishimbi atakaa benchi. To me Mkude is the best holding midfielder in the country for now. Jana kwenye timu zote mbili Yanga na Simba hakukuwa na namba 6 yenye uwezo unaokaribia wa Mkude, and yet hakuchezeshwa. Hiyo ndio Tanzania.

HAHAHAHAHAHAHAHAHA We jamaa wewe! Eti hii leo MKUDE amuweke Benchi Tshishimbi. Acheni utani basi.

Kama mwalimu wako ameona MKUDE hafai hata kuanza dhidi ya NIYONZIMA sidhani kama hata angeweza kuanza dhidi ya play maker Kamusoko ambaye alikuwa akimuweka benchi NIYONZIMA.
 
Free Manji..dirisha dogo atuletee kutinyo(yule dogo wa singida united mwenye nywele za gold)CAF champions tutafika mbali

Pambaneni na hali zenu,Manji si wa kutoka leo wala kesho
 
Ninachoona yanga mlijiandaa kufungwa. Kilichowashtua ni kufungwa kwa penati. Mpira ulichezwa na timu zote lakini lawama kwa simba! Kumbe kila mtanzania anaipenda simba. Maana kila mtu analalamikia safu ya ushambuliaji ya simba.

Una maanisha hata POGBA alivyonunuliwa kwa gharama zile na kila mtu akapaza sauti ni kwamba kila aliye paza sauti na kupinga ile gharama ni shabiki wa Manchester United?

Watu wanafanya reasoning ya kawaida tu, Bilion 1.3 ,mechi 5 so far, goal scored 3.
 
Nasikia Gongowazi mzimu wa TANO bado unawatesa ni kweli?

Sijakuelewa Unamaanisha Mzimu wa "MATAJI"

La hasha, kuna mzimu wa mataji pale Jangwani, upo na unatutesa kweli.Yaani kila msimu huo mzimu unaleta ndoo za VPL pale.

Ila mzimu huo huo unawatesa sana MIKIA FC, Just imagine 5 yrs without a premier league Trophy. hahahahah
 
Hakukuwa na kutest mitambo jana, tangu usajili mpya Mkude amekuwa akiwekwa benchi ilhali katikati Simba imekuwa haina mwelekeo..

Mchezaji yeyote akitoka Yanga kuja Simba lazima awe na "EFFECT"

jamaa kaja kakwapua Jezi namba 8 ya babu yenu Kazimoto, Kakwapua nafasi ya MKUDE. and you still lament ati NIYONZIMA ni wakawaida.
Ina maana wewe unajua zaidi ya Mayanja & Omog?
 
Simba hii ni nzuri na inaweza kuwa inavuna magoli mengi ila kocha Simba kwa sasa hatuna. Hakuna timu Tanzania hii inayoweza kumuweka Mkude benchi.

Unamaanisha safu ya kuvuna magoli mengi ni hii ya akina Bocco na mavugo.
kwa takwimu za haraka haraka za mavugo jana ni:

Total Shoots 6
Shoots Off target - 6
Shoots On target - 0

Total Headers 3
Headers Off target - 3
Headers On target - 0

Huyu ndio focal point ya safu yenu ya ushambulizi.
 
Jana tulikua tunatest mitambo ndio maana akina Juko, Mkude, Ndemla, Boko, walikaa benchi. Yanga ndio waliokua na kibarua kigumu cha kuwathibishia mashabiki wao kua sio wanyonge kwa simba.

Yanga na Simba nani mnyonge kwa mwenzake?

Hebu fuatilia takwimu za mitanange ya watani wa jadi. Then utujuze nani amemfunga mwenzake mechi nyingi?
 
Back
Top Bottom