Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Mechi zilizopita na mkafungwa hawakuwepo??Chirwa na tambwe kama wangekuwepo leo basi shughuli ingeisha Mapemaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi zilizopita na mkafungwa hawakuwepo??Chirwa na tambwe kama wangekuwepo leo basi shughuli ingeisha Mapemaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana Simba ile pungufu ni zaidi ya Simba hii kamili? Na kama ni hivyo ina maana kwamba usajili wa mwaka huu umeirudisha timu nyuma badala ya kwenda mbele?
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.
tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.
Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.
Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Unyonge wa kuwa bingwa mara tatu mfulilizo ndiyo tunautaka sana YangaJana tulikua tunatest mitambo ndio maana akina Juko, Mkude, Ndemla, Boko, walikaa benchi. Yanga ndio waliokua na kibarua kigumu cha kuwathibishia mashabiki wao kua sio wanyonge kwa simba.
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.
tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.
Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.
Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Jana tulikua tunatest mitambo ndio maana akina Juko, Mkude, Ndemla, Boko, walikaa benchi. Yanga ndio waliokua na kibarua kigumu cha kuwathibishia mashabiki wao kua sio wanyonge kwa simba.
Ndo mlikula kichapo kutoka kwa watu pungufu. Mechi ya tatu hii mwaka huu mnakutana na simba mnakalishwa.

Mimi ni mpenzi wa Simba ila ni mwanasports sio shabiki. Usajili wa Simba sio mbaya na wala safu ya ushambuliaji sio mbaya. Simba inaumizwa na uwezo wa makocha wetu kujua ni wachezaji gani wanatakiwa kupartner ili kuleta ushindi mkubwa.
Shida kubwa sana ya Simba kwa sasa ni midfield, imekufa kabisa. Na si kwamba hatuna midfield na hasa holding midfield mwenye akili ya kupokea mipira na kuisambaza na kuifanya timu kuflow vizuri ili akina Okwi, Kichuya, Mo, Boko kufunga magoli mengi, isipokuwa tumeamua 'kisiasa' nadhani kumuacha/kutomchezesha one of the best holding midfielders in the country (JONAS MKUDE).
Tangu kijana huyu ameanza kuwekwa benchi kwa sababu ambazo sizijui, midfield ya Simba imekufa kabisa!! Hakuna mechi ambazo Simba imecheza za majaribio ambazo MKUDE amekaa benchi ambapo Simba ilichangamka katikati.
Na hata kwenye mechi ya Ngao ya Hisani, katikati Simba palikufa tangu mpira unaanza, lakini kocha aligoma kabisa kufanya mabadiliko katikati.
Ilikuwa ni kumtoa Ally Shomari (beki wa kulia), ambaye mechi ya jana ilimzidi kidogo, na kumbadilisha Kotei akacheza beki wa kulia halafu katikati angemuweka MKUDE, nina uhakika huyo Shishimbi usingemsikia kama unavyomsikia kwa sasa.
Mwisho, tathmini yangu ya mwanzo kabisa nikiwa mwanaSimba, ligi hii, kama figisu hizi zitaendelea natabiri Yanga kuchukua ubingwa tena kwa idadi ya magoli kama sio kwa pointi chache.

Nasikia Gongowazi mzimu wa TANO bado unawatesa ni kweli?wenyewe wanasema wamesajili kwa ajili ya mashindano ya CAF.
Infact hata ukiwapa Yanga leo huyo Mkude, Shishimbi atakaa benchi. To me Mkude is the best holding midfielder in the country for now. Jana kwenye timu zote mbili Yanga na Simba hakukuwa na namba 6 yenye uwezo unaokaribia wa Mkude, and yet hakuchezeshwa. Hiyo ndio Tanzania.
Free Manji..dirisha dogo atuletee kutinyo(yule dogo wa singida united mwenye nywele za gold)CAF champions tutafika mbali
Ninachoona yanga mlijiandaa kufungwa. Kilichowashtua ni kufungwa kwa penati. Mpira ulichezwa na timu zote lakini lawama kwa simba! Kumbe kila mtanzania anaipenda simba. Maana kila mtu analalamikia safu ya ushambuliaji ya simba.
Nasikia Gongowazi mzimu wa TANO bado unawatesa ni kweli?
Hakukuwa na kutest mitambo jana, tangu usajili mpya Mkude amekuwa akiwekwa benchi ilhali katikati Simba imekuwa haina mwelekeo..
Simba hii ni nzuri na inaweza kuwa inavuna magoli mengi ila kocha Simba kwa sasa hatuna. Hakuna timu Tanzania hii inayoweza kumuweka Mkude benchi.