Similarly, who told you that higher transfer fee guarantee a win or league title? Don't you remember what Mbao FC earned from Yanga last season?
Umehoji Kibashitebashite tu. Sina uhakika kama unaujua Mpira. Football is a game. You can score goals or you can not score. A few trial games not enough to draw conclusions. Kikosi kinaweza anza slowly lakini kikafinish stronglyTukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.
tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.
Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.
Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Kipigo chenu kiko palepale mwaka huu. Rukeni huko na huko lakini kichapo pale paleAh ah ah! Ila Simba kwa timu hii na hela mliyotumia kusajili ni vitu haviendani kabisa,tatizo mmesajili majina na sio mahitaji ya timu
Niwapongeze Yanga sana sana bench lao la ufundi,wamecheza kitimu zaid,ukiona wanavyozuia mpinzani akiwa na mpira yani ni hard work ingawa wana tatizo la kutotulia na mpira especially nyuma,hawawez kuanzisha mashambuliz tokea nyuma km walivyokuwa wanafundishwa na van pluijim
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Mtani unanichekesha mno, Etiutaki tujadiri Takwimu za ujumla unata tuzungumzie takwimu yako ambayo unaipenda.Mku unang'ang'ania takwimu za historia, ukiletewa za 5-0 haupendi. Utakufa kwa presha!
View attachment 574411
Mkuu hebu nenda kwenye Profileyangu then urudie kutazamana kusoma upya wasifu wangu. Hakuna pahala nimeandika kuwa "MIMI NI MCHAMBUZI WA SOKA".Nimefuatilia huu uzi kutoka mwamzo mpaka ulipofikia, nimegundua kuna kitu unakifahamu kuhusu football ila tatizo kubwa kinalofanya uonekane kiazi ni huo ushabiki maandazi uliokua nao.
Uko zaidi kishabiki na si kujadili uhalisia wa football.mkuu chesty amejaribu kukueleza vitu vingi vya mpira lakini bado ukaegemea kwenye ushabiki zaidi.
Mimi ni mshabiki wa timu ya Simba lakini tunapozungumza lugha ya football ushabiki huuweka pembeni.
Ukitaka ujifunze vitu vingi ficha ushabiki wako utapata faida nyingi.
Kipigo chenu kiko palepale mwaka huu. Rukeni huko na huko lakini kichapo pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta referrence ya msimu wowote ambao unaoweza kusupport hoja hii.....Umehoji Kibashitebashite tu. Sina uhakika kama unaujua Mpira. Football is a game. You can score goals or you can not score. A few trial games not enough to draw conclusions. Kikosi kinaweza anza slowly lakini kikafinish strongly
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao wachezaji tuliowaona juzi
Wamo kwenye Timu ya taifa au ni wageni
Tutafute na kuandaa wachezaji wetu chipukizi badala ya kuendela kusajili wachezaji wa nje
Nani staika hapa tanzania anaye weza fanya ukatoka nyumbani ukujiamini siku Taifa stars wanacheza na Cameroon
Mavugo
Okwi
Niyonzima
Au kamusoko
Bado tunapoteza muda na kufurahisha nafsi zetu kwa muda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, badi lipo!
Nina muda sijatazama habari za "TBC", hivi hili gazeti badi lipo Mkuu?
Cha ajabu, amemkomboa kwa kutoa nyumba!Nilidhani aliweka bondi Nyumba, KUMBE MKE?
Kwa namna wanawake walivyo wengi hivi unashindwaje kujiopolea mwingine? Au serikali imepiga marufuku kuona wake zaidi ya mmoja?
Uwapo mshabiki wa Yanga kuna tofauti gani na kuwa mshabiki wa vilabu kama Man U, Bayern au Madrid?
Kama sualala Mataji Yanga ndio Nyumbani.
Okwi gani unamzungumzia ?Simba kweli mambumbu! Mpaka sasa sioni sababu ya wao kuwasajili watu kama kapombe, boko, okwi na haruna kwa mamilioni ya fedha wakati walikuwa na watu kama kina bukungu, ndemla, mkude na Mo ibra! Kapombe na Okwi ni majeruhi wa kudumu lakin wamesajiliwa kwa pesa ndefu balaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya kwanza imeshachezwa, tuletee mrejesho!Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.
tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.
Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.
Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Okwi gani unamzungumzia ?
Huyu hapaHuenda alikuwa Mbumubumbu huyo...maana wana Jangwani hatuko namna hiyo.