Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

Similarly, who told you that higher transfer fee guarantee a win or league title? Don't you remember what Mbao FC earned from Yanga last season?

Nilitoa Mfano kwenye suala la Possesion, na nitakupa mfano kwenye suala hili.

-Possesion haikuhakikishii ubingwa, Kwenye ligi kama VPL.
-The higher transfer fee budget does guarantees you a tittle.

Kwa mahesabu ya haraka haraka kwenye miaka 4 ulikuwa na highest average possesion kwenye takribani kila msimu...kwenye misimu yote 3, but who was the VPL Champ kwenye hiyo misimu 3.? (Dar es Salaam Young Africans SC)

SABABU: Yanga alikuwa akitumia Bajeti kubwa mno kwenye suala zima la Usajili.

Upo hapo?
 
Hivi hao wachezaji tuliowaona juzi
Wamo kwenye Timu ya taifa au ni wageni
Tutafute na kuandaa wachezaji wetu chipukizi badala ya kuendela kusajili wachezaji wa nje
Nani staika hapa tanzania anaye weza fanya ukatoka nyumbani ukujiamini siku Taifa stars wanacheza na Cameroon
Mavugo
Okwi
Niyonzima
Au kamusoko
Bado tunapoteza muda na kufurahisha nafsi zetu kwa muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.

tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.

Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.

Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Umehoji Kibashitebashite tu. Sina uhakika kama unaujua Mpira. Football is a game. You can score goals or you can not score. A few trial games not enough to draw conclusions. Kikosi kinaweza anza slowly lakini kikafinish strongly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah ah ah! Ila Simba kwa timu hii na hela mliyotumia kusajili ni vitu haviendani kabisa,tatizo mmesajili majina na sio mahitaji ya timu
Niwapongeze Yanga sana sana bench lao la ufundi,wamecheza kitimu zaid,ukiona wanavyozuia mpinzani akiwa na mpira yani ni hard work ingawa wana tatizo la kutotulia na mpira especially nyuma,hawawez kuanzisha mashambuliz tokea nyuma km walivyokuwa wanafundishwa na van pluijim

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipigo chenu kiko palepale mwaka huu. Rukeni huko na huko lakini kichapo pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mku unang'ang'ania takwimu za historia, ukiletewa za 5-0 haupendi. Utakufa kwa presha!

View attachment 574411
Hahaha Mtani unanichekesha mno, Etiutaki tujadiri Takwimu za ujumla unata tuzungumzie takwimu yako ambayo unaipenda.

By the way! Yanga is not the first biggest club to lose a gameby that Margin. Nakusogozea moja ya klabu moja kubwa ulimwenguni iliyo fanikiwa kwa Mataji mengi zaidi.....

1.PNG

2.PNG

Note: RealMadrid is the most succesfull Football Club in the world in terms of tittles
 
Nimefuatilia huu uzi kutoka mwamzo mpaka ulipofikia, nimegundua kuna kitu unakifahamu kuhusu football ila tatizo kubwa kinalofanya uonekane kiazi ni huo ushabiki maandazi uliokua nao.

Uko zaidi kishabiki na si kujadili uhalisia wa football.mkuu chesty amejaribu kukueleza vitu vingi vya mpira lakini bado ukaegemea kwenye ushabiki zaidi.

Mimi ni mshabiki wa timu ya Simba lakini tunapozungumza lugha ya football ushabiki huuweka pembeni.

Ukitaka ujifunze vitu vingi ficha ushabiki wako utapata faida nyingi.
Mkuu hebu nenda kwenye Profileyangu then urudie kutazamana kusoma upya wasifu wangu. Hakuna pahala nimeandika kuwa "MIMI NI MCHAMBUZI WA SOKA".

Wachambuzi wa soka ni akina eddo, jeff na shaffih mpaka leo hakuna mwenye uhakika wa klabu wazipendazo unless uwe insider kwenye maisha yao.
 
Umehoji Kibashitebashite tu. Sina uhakika kama unaujua Mpira. Football is a game. You can score goals or you can not score. A few trial games not enough to draw conclusions. Kikosi kinaweza anza slowly lakini kikafinish strongly

Sent using Jamii Forums mobile app
Leta referrence ya msimu wowote ambao unaoweza kusupport hoja hii.....
 
Hivi hao wachezaji tuliowaona juzi
Wamo kwenye Timu ya taifa au ni wageni
Tutafute na kuandaa wachezaji wetu chipukizi badala ya kuendela kusajili wachezaji wa nje
Nani staika hapa tanzania anaye weza fanya ukatoka nyumbani ukujiamini siku Taifa stars wanacheza na Cameroon
Mavugo
Okwi
Niyonzima
Au kamusoko
Bado tunapoteza muda na kufurahisha nafsi zetu kwa muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hivi bado na wewe umo kwenye jopo la watu wenye kuamini kwenye "Taifa Stars"? Hili ni tatizo ambalo kwenye lifetime yako huto kuja ona likiwa sawa.
 
Nilidhani aliweka bondi Nyumba, KUMBE MKE?

Kwa namna wanawake walivyo wengi hivi unashindwaje kujiopolea mwingine? Au serikali imepiga marufuku kuona wake zaidi ya mmoja?
Cha ajabu, amemkomboa kwa kutoa nyumba!
 
Haji Manaraaaaa.. ... Sawa bwana. This is Simba. Kiss wamepata mfadhili MO. Ngoja TRA wake hukohuko. Na kodi za viwanjaa na majengo. TRA Oyeeeee.. Shughulikia fefha za usajili. Wasema wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba kweli mambumbu! Mpaka sasa sioni sababu ya wao kuwasajili watu kama kapombe, boko, okwi na haruna kwa mamilioni ya fedha wakati walikuwa na watu kama kina bukungu, ndemla, mkude na Mo ibra! Kapombe na Okwi ni majeruhi wa kudumu lakin wamesajiliwa kwa pesa ndefu balaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Okwi gani unamzungumzia ?
 
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.

tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.

Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.

Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Mechi ya kwanza imeshachezwa, tuletee mrejesho!
demigod.

Okwi gani unamzungumzia ?
 
Back
Top Bottom