Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

Mechi ya kwanza imeshachezwa, tuletee mrejesho!
demigod.
Kwani ni mara ya Kwanza kutangulia kwa baiskeli ya barafu halafu mwisho wa msimu unamtafuta mchawi nani?

Mlitangulia kwa points 8 nyinyi na Yanga akatawazwa Bingwa wa VPL....
 
Hivi unajua tshibimbi wenu mmemsajili $300000?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni mara ya Kwanza kutangulia kwa baiskeli ya barafu halafu mwisho wa msimu unamtafuta mchawi nani?

Mlitangulia kwa points 8 nyinyi na Yanga akatawazwa Bingwa wa VPL....
Mkuu leta mrejesho wa idadi ya magoli maana ndio msingi wa thread yako!!
 
Huu uzi ulistahili uwe lockup sasahivi, nashangaa sana Mods mmelala... Farida uko wapi
 
Mkuu leta mrejesho wa idadi ya magoli maana ndio msingi wa thread yako!!

Mkuu...Yule Ruvu si mmemuotea tu. na ndio kwanza game 1 imechezwa.

najua tutapoteana hapo baada mizunguzo 5 hivi ya VPL.
 
Kuna mashabiki wa msimu. Huwa anaonekana timu yake ififanya vizuri, na ghafla hupotea pale mambo yaendapo mrama.
mm ni mshabiki maridhawa wa simba ila kwenye huu ukengeza wako nilikua nasoma tu ila majibu umeyaona mnama
 
mm ni mshabiki maridhawa wa simba ila kwenye huu ukengeza wako nilikua nasoma tu ila majibu umeyaona mnama
Ni kweli hukuwa kabisa na Confidence ya kupost au kureply chochote msimu uliopita.....Maana ndio aina hii ya mashabiki niliyokuwa naizungumzia

Na ghafla ukapaia nguvu ya kukomenti baada ya kumfunga "Ruvu Shooting" bao 7...
 
hapana mkuu mm namoyo mgum kama naweza kushabikia arsenal nashindwaje kufurahia habar za simba hua nachangia sehem zenye hoja zenye mashiko SEDUCEME by king kiba
 
Stress za nchi yng maana hili gari sijui dereva anatupeleka wp bado sina comment kwake kizunguukuti nikija kwenye mpira babu balaa sina pa kupata faraja sasa afadhali Simba wameanza kunifariji this is Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
mi huwa na fos furaha naangalia video zakina henry,parlour ,Bercamp, kanu, Campbell, Cole, pires na miamba mingine ya anbiten lakini hii ya Wenger amakinikia yasasa ni pressure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…