demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajua tshibimbi wenu mmemsajili $300000?Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.
tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.
Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.
Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Mkuu leta mrejesho wa idadi ya magoli maana ndio msingi wa thread yako!!Kwani ni mara ya Kwanza kutangulia kwa baiskeli ya barafu halafu mwisho wa msimu unamtafuta mchawi nani?
Mlitangulia kwa points 8 nyinyi na Yanga akatawazwa Bingwa wa VPL....
Akileta ni - tag mkuu!Mkuu leta mrejesho wa idadi ya magoli maana ndio msingi wa thread yako!!
ahahahah nilikua nasoma nakupita leo miweke wazi this is simbaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
mm ni mshabiki maridhawa wa simba ila kwenye huu ukengeza wako nilikua nasoma tu ila majibu umeyaona mnamaKuna mashabiki wa msimu. Huwa anaonekana timu yake ififanya vizuri, na ghafla hupotea pale mambo yaendapo mrama.
Ni kweli hukuwa kabisa na Confidence ya kupost au kureply chochote msimu uliopita.....Maana ndio aina hii ya mashabiki niliyokuwa naizungumziamm ni mshabiki maridhawa wa simba ila kwenye huu ukengeza wako nilikua nasoma tu ila majibu umeyaona mnama
hapana mkuu mm namoyo mgum kama naweza kushabikia arsenal nashindwaje kufurahia habar za simba hua nachangia sehem zenye hoja zenye mashiko SEDUCEME by king kibaNi kweli hukuwa kabisa na Confidence ya kupost au kureply chochote msimu uliopita.....Maana ndio aina hii ya mashabiki niliyokuwa naizungumzia
Na ghafla ukapaia nguvu ya kukomenti baada ya kumfunga "Ruvu Shooting" bao 7...
Asante Shabiki mwenzake tumwombee Dangote anunue timu maana huyu babu anatatuuwa kwa preshahapana mkuu mm namoyo mgum kama naweza kushabikia arsenal nashindwaje kufurahia habar za simba hua nachangia sehem zenye hoja zenye mashiko SEDUCEME by king kiba
dangote atashindwa tu ameanza kutangaza vita kbl yakupewa milkAsante Shabiki mwenzake tumwombee Dangote anunue timu maana huyu babu anatatuuwa kwa presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Stress za nchi yng maana hili gari sijui dereva anatupeleka wp bado sina comment kwake kizunguukuti nikija kwenye mpira babu balaa sina pa kupata faraja sasa afadhali Simba wameanza kunifariji this is Simbadangote atashindwa tu ameanza kutangaza vita kbl yakupewa milk
mi huwa na fos furaha naangalia video zakina henry,parlour ,Bercamp, kanu, Campbell, Cole, pires na miamba mingine ya anbiten lakini hii ya Wenger amakinikia yasasa ni pressure tuStress za nchi yng maana hili gari sijui dereva anatupeleka wp bado sina comment kwake kizunguukuti nikija kwenye mpira babu balaa sina pa kupata faraja sasa afadhali Simba wameanza kunifariji this is Simba
Sent using Jamii Forums mobile app