Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

Tuzo ya ushirikina iyo Kila msimu Wana inyakua, hawana mpinzani.
Timu inashauriwa na Kisugu iache uwanja wa Chamazi ikacheze morogoro na uongozi unabariki[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sio kwamba wewe ujiulize umaskini wa kutupwa ulionao utaisha lini?
 
Simba sijui mtapata nini msimu huu.
Simba ya nini kwenye mafanikio ya ๐Ÿธ๐Ÿธ?

Tumia akili yako nusu kuogelea mambo ya ๐Ÿธ๐Ÿธ, hayo yanakuhusu wewe na ๐Ÿธ๐Ÿธ mwenzio.

Mambo ya Simba waachie wana Simba wenyewe hayakuhusu.
 
Simba ya nini kwenye mafanikio ya ๐Ÿธ๐Ÿธ?

Tumia akili yako nusu kuogelea mambo ya ๐Ÿธ๐Ÿธ, hayo yanakuhusu wewe na ๐Ÿธ๐Ÿธ mwenzio.

Mambo ya Simba waachie wana Simba wenyewe hayakuhusu.
Sawa
 
Bingwa. Yanga
Kocha bora. Gamondi
Kipa bora. Diarra
Beki bora. Yao
Kiungo bora. atatoka Yanga
MVP . atatoka Yanga

Simba sijui mtapata nini msimu huu.
mzee mnatia aibu sana kuanzisha manyuzi mengi yasio na vichwa wala miguu mashabiki wa yanga punguzeni ujinga kichwani mnajitiria aibu wanyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ