Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

FB_IMG_1708800071658.jpg
 
Tuzo ya ushirikina iyo Kila msimu Wana inyakua, hawana mpinzani.
Timu inashauriwa na Kisugu iache uwanja wa Chamazi ikacheze morogoro na uongozi unabariki[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sio kwamba wewe ujiulize umaskini wa kutupwa ulionao utaisha lini?
 
Bingwa. Yanga
Kocha bora. Gamondi
Kipa bora. Diarra
Beki bora. Yao
Kiungo bora. atatoka Yanga
MVP . atatoka Yanga

Simba sijui mtapata nini msimu huu.
mzee mnatia aibu sana kuanzisha manyuzi mengi yasio na vichwa wala miguu mashabiki wa yanga punguzeni ujinga kichwani mnajitiria aibu wanyewe
 
Back
Top Bottom