Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya nimethibitisha Sasa hivi hii timu imebaki na mashabiki wazee ambao waliishuhudia ikibeba makombe Kwa kubebwa na marefa vijana wa Sasa hivi wanashaikia timu kama arsenal Liverpool man city Chelsea ambazo wanazishuhudia zinatikisa miaka hii tukutane mwisho wa msimu hii timu inaenda kushuka daraja rasmi mtaikumbuka hii thread