kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Mimi ni yanga, Ila combination ya saido, chama, sakho, phiri, ni tishio kwake sio kwa yanga na amini yanga watachukuwa ubingwa vizuri bila tatizo lolote.
Tatizo lipo kwa upande wa fiston mayele ambaye anahitaji kuchukuwa kiatu msimu huu. Ukiangalia vizuri yanga hatuna playmakers kama simba ambao wana saido, chama, na kidogo sakoho
Uku sisi yanga tuna feisal, aziz ki, Ukiangalia vizuri hawa sio wazuri kwa ku assist kama saido na chama. Kwa matik hiyo msimu huu na mpa bocco au phiri kuwa na nafasi kubwa ya kuchukuwa kiatu cha mfungaji bora msimu huu.
Ila kama kocha nabi atakuwa na kazi mzuri ya kutengeneza aziz ki vizuri the way anavyo cheza aziz ki hana tofauti kubwa na hawa wawili yaani chama na saido. Na pia anaweza kuwa hata zaidi yao kwa vitu fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app