Msimu huu Mayele bado anakazi kubwa ya kufanya

Msimu huu Mayele bado anakazi kubwa ya kufanya

Magoli halali Kwa mujibu wako Wewe utopolo sio? Sahauni kiatu mbele ya Bocco na Phiri Kwa huyo striker wenu uchwara underdog wa Mpole.

We Ni Kilaza Sana Kwenye Football [emoji28], Striker Uchwara Kashawapiga Kamba 3 Kwenye Mechi 5 [emoji28][emoji28]
 
Nendeni kwenye ista story ya Mayele muone alivyompa kongole Saido kwa performance yake.
 
Msimu uliopita ilikuwaje akapewa ng'ombe badala ya kiatu?
Kawaulize marefa watakwambia kilichotokea, Safari hii imekula kwao na leo atawapigia simu msiache kupokea dhidi ya mtibwa
 
Kesho watarudi hapa kuwatukana hao wakina Saido

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Maana dakika 0 tu wamebadilika. Wanaweza wakakusifia mpaka ukashangaa, halafu ghafla tu wanaanza kukusimanga na kukuponda.

Leo John Bocco anasifiwa! Lakini huwezi kuamini miezi michache iliyopita walivyokuwa wakimtukana himu jukwaani.
 
Kwaio Sopu Ni Striker Uchwara??, Au Nawe Ni Kama Huyo Kilaza Hapo Juu Anayesema Mayele Ni striker Uchwara..
Umesoma nilichoandika na ukaelewa? Hayo uliyoyaandika mimi nimeyasema? Au bado wenye akili huko ni wale wale wawili
 
Mimi ni yanga, Ila combination ya saido, chama, sakho, phiri, ni tishio kwake sio kwa yanga na amini yanga watachukuwa ubingwa vizuri bila tatizo lolote.

Tatizo lipo kwa upande wa fiston mayele ambaye anahitaji kuchukuwa kiatu msimu huu. Ukiangalia vizuri yanga hatuna playmakers kama simba ambao wana saido, chama, na kidogo sakoho

Uku sisi yanga tuna feisal, aziz ki, Ukiangalia vizuri hawa sio wazuri kwa ku assist kama saido na chama. Kwa matik hiyo msimu huu na mpa bocco au phiri kuwa na nafasi kubwa ya kuchukuwa kiatu cha mfungaji bora msimu huu.

Ila kama kocha nabi atakuwa na kazi mzuri ya kutengeneza aziz ki vizuri the way anavyo cheza aziz ki hana tofauti kubwa na hawa wawili yaani chama na saido. Na pia anaweza kuwa hata zaidi yao kwa vitu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Feisal keshaondoka mkuu
 
Tanzania kama tuna akili tuwaandae hawa madogo wawili vizur watakuja kutusaidia ..SOPU NA MZIZE
 
Mimi ni yanga, Ila combination ya saido, chama, sakho, phiri, ni tishio kwake sio kwa yanga na amini yanga watachukuwa ubingwa vizuri bila tatizo lolote.

Tatizo lipo kwa upande wa fiston mayele ambaye anahitaji kuchukuwa kiatu msimu huu. Ukiangalia vizuri yanga hatuna playmakers kama simba ambao wana saido, chama, na kidogo sakoho

Uku sisi yanga tuna feisal, aziz ki, Ukiangalia vizuri hawa sio wazuri kwa ku assist kama saido na chama. Kwa matik hiyo msimu huu na mpa bocco au phiri kuwa na nafasi kubwa ya kuchukuwa kiatu cha mfungaji bora msimu huu.

Ila kama kocha nabi atakuwa na kazi mzuri ya kutengeneza aziz ki vizuri the way anavyo cheza aziz ki hana tofauti kubwa na hawa wawili yaani chama na saido. Na pia anaweza kuwa hata zaidi yao kwa vitu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo magoli 14 kayafunga vp kama Yanga hakuna player makers? vitu vingine mjaribu kuficha ujinga
 
Na ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Maana dakika 0 tu wamebadilika. Wanaweza wakakusifia mpaka ukashangaa, halafu ghafla tu wanaanza kukusimanga na kukuponda.

Leo John Bocco anasifiwa! Lakini huwezi kuamini miezi michache iliyopita walivyokuwa wakimtukana himu jukwaani.
Unafikiri Kwa nini Luc aliwaita mnabweka kama mambwa na manyani? Bora Fans wa Simba huwa wanaishia kuwasema Tu wachezaji wao. Nyinyi huwa mnawarushia makopo wachezaji wenu walioflop. Akina Sarpong walipata shida Sana sijui Wewe uto kumbukumbu unatunza Kwa kutumia nini.
 
Back
Top Bottom