Msimu huu Mayele bado anakazi kubwa ya kufanya

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mimi ni yanga, Ila combination ya saido, chama, sakho, phiri, ni tishio kwake sio kwa yanga na amini yanga watachukuwa ubingwa vizuri bila tatizo lolote.

Tatizo lipo kwa upande wa fiston mayele ambaye anahitaji kuchukuwa kiatu msimu huu. Ukiangalia vizuri yanga hatuna playmakers kama simba ambao wana saido, chama, na kidogo sakoho

Uku sisi yanga tuna feisal, aziz ki, Ukiangalia vizuri hawa sio wazuri kwa ku assist kama saido na chama. Kwa matik hiyo msimu huu na mpa bocco au phiri kuwa na nafasi kubwa ya kuchukuwa kiatu cha mfungaji bora msimu huu.

Ila kama kocha nabi atakuwa na kazi mzuri ya kutengeneza aziz ki vizuri the way anavyo cheza aziz ki hana tofauti kubwa na hawa wawili yaani chama na saido. Na pia anaweza kuwa hata zaidi yao kwa vitu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mwisho wa msimu usije na hadithi nyingine hapa, wewe unafikiri kila siku utakuwa unacheza na timu yenye wachezaji 9 uwanjani, pole yako weka akiba ya maneno, yanga inacheza kitimu na mayele anafunga kutokana na muunganiko wa timu nzima na sio mchezaji mmoja mmoja na kiatu ni chake mpende msipende
 
ntibazonkiza amewasha gari huko
 
Gorge Mpole tu alijiokotea kiatu mbele ya huyo striker uchwara. Sahauni kiatu Uto mbele ya Bocco na Phiri.

Wewe Bwege Wakati Mayele Anakataliwa Magoli Yake Halali Kwa Hukumu Za Offside Kwenye Mechi Dhidi Ya Mbeya City Na ile Ya Mtibwa Pale Kwa Mkapa…Huyo Striker Wenu Uchwara Hiyo Tuzo Ya Ufungaji Bora Angekuwa Nayo Saiz?
 
Mayele ni bonge la mshambuliaji, ila mkuu unamfananisha Chama na Aziz Ki upo serious au unatania??
 
Wewe Bwege Wakati Mayele Anakataliwa Magoli Yake Halali Kwa Hukumu Za Offside Kwenye Mechi Dhidi Ya Mbeya City Na ile Ya Mtibwa Pale Kwa Mkapa…Huyo Striker Wenu Uchwara Hiyo Tuzo Ya Ufungaji Bora Angekuwa Nayo Saiz?
Umekuwa kwako hiyo msimu iliyopita alichofanikiwa mayele ni kuzawadia ng'ombe tu
 
Msimu uliopita ilikuwaje akapewa ng'ombe badala ya kiatu?
 
Wewe Bwege Wakati Mayele Anakataliwa Magoli Yake Halali Kwa Hukumu Za Offside Kwenye Mechi Dhidi Ya Mbeya City Na ile Ya Mtibwa Pale Kwa Mkapa…Huyo Striker Wenu Uchwara Hiyo Tuzo Ya Ufungaji Bora Angekuwa Nayo Saiz?
Magoli halali Kwa mujibu wako Wewe utopolo sio? Sahauni kiatu mbele ya Bocco na Phiri Kwa huyo striker wenu uchwara underdog wa Mpole.
 
Wewe Bwege Wakati Mayele Anakataliwa Magoli Yake Halali Kwa Hukumu Za Offside Kwenye Mechi Dhidi Ya Mbeya City Na ile Ya Mtibwa Pale Kwa Mkapa…Huyo Striker Wenu Uchwara Hiyo Tuzo Ya Ufungaji Bora Angekuwa Nayo Saiz?
Naona wewe huyo mayele umamjulia yanga, nenda congo kaulize kama huyo jamaa alishawahi vaa buti ya ufungaji bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…