Bahati yake Phiri ameumia, leo angemfikia
Magoli halali Kwa mujibu wako Wewe utopolo sio? Sahauni kiatu mbele ya Bocco na Phiri Kwa huyo striker wenu uchwara underdog wa Mpole.
Kuna dogo kawapiga kamba 5 kwenye mechi mbili ila hii haimanishi dogo ni bora sanaWe Ni Kilaza Sana Kwenye Football [emoji28], Striker Uchwara Kashawapiga Kamba 3 Kwenye Mechi 5 [emoji28][emoji28]
Lakini hatutamuonea hurumaNendeni kwenye ista story ya Mayele muone alivyompa kongole Saido kwa performance yake.
Kuna dogo kawapiga kamba 5 kwenye mechi mbili ila hii haimanishi dogo ni bora sana
Kawaulize marefa watakwambia kilichotokea, Safari hii imekula kwao na leo atawapigia simu msiache kupokea dhidi ya mtibwaMsimu uliopita ilikuwaje akapewa ng'ombe badala ya kiatu?
Kwaiyo unataka kusemaje labdaNaona wewe huyo mayele umamjulia yanga, nenda congo kaulize kama huyo jamaa alishawahi vaa buti ya ufungaji bora
Mayele yake ng'ombeKwaiyo unataka kusemaje labda
Na ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Maana dakika 0 tu wamebadilika. Wanaweza wakakusifia mpaka ukashangaa, halafu ghafla tu wanaanza kukusimanga na kukuponda.
Umesoma nilichoandika na ukaelewa? Hayo uliyoyaandika mimi nimeyasema? Au bado wenye akili huko ni wale wale wawiliKwaio Sopu Ni Striker Uchwara??, Au Nawe Ni Kama Huyo Kilaza Hapo Juu Anayesema Mayele Ni striker Uchwara..
Mayele yake ng'omb
Punguani anapojitoa ufahamu 🚮🚮🚮Mayele yake ng'ombe
Feisal keshaondoka mkuuMimi ni yanga, Ila combination ya saido, chama, sakho, phiri, ni tishio kwake sio kwa yanga na amini yanga watachukuwa ubingwa vizuri bila tatizo lolote.
Tatizo lipo kwa upande wa fiston mayele ambaye anahitaji kuchukuwa kiatu msimu huu. Ukiangalia vizuri yanga hatuna playmakers kama simba ambao wana saido, chama, na kidogo sakoho
Uku sisi yanga tuna feisal, aziz ki, Ukiangalia vizuri hawa sio wazuri kwa ku assist kama saido na chama. Kwa matik hiyo msimu huu na mpa bocco au phiri kuwa na nafasi kubwa ya kuchukuwa kiatu cha mfungaji bora msimu huu.
Ila kama kocha nabi atakuwa na kazi mzuri ya kutengeneza aziz ki vizuri the way anavyo cheza aziz ki hana tofauti kubwa na hawa wawili yaani chama na saido. Na pia anaweza kuwa hata zaidi yao kwa vitu fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo magoli 14 kayafunga vp kama Yanga hakuna player makers? vitu vingine mjaribu kuficha ujingaMimi ni yanga, Ila combination ya saido, chama, sakho, phiri, ni tishio kwake sio kwa yanga na amini yanga watachukuwa ubingwa vizuri bila tatizo lolote.
Tatizo lipo kwa upande wa fiston mayele ambaye anahitaji kuchukuwa kiatu msimu huu. Ukiangalia vizuri yanga hatuna playmakers kama simba ambao wana saido, chama, na kidogo sakoho
Uku sisi yanga tuna feisal, aziz ki, Ukiangalia vizuri hawa sio wazuri kwa ku assist kama saido na chama. Kwa matik hiyo msimu huu na mpa bocco au phiri kuwa na nafasi kubwa ya kuchukuwa kiatu cha mfungaji bora msimu huu.
Ila kama kocha nabi atakuwa na kazi mzuri ya kutengeneza aziz ki vizuri the way anavyo cheza aziz ki hana tofauti kubwa na hawa wawili yaani chama na saido. Na pia anaweza kuwa hata zaidi yao kwa vitu fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri Kwa nini Luc aliwaita mnabweka kama mambwa na manyani? Bora Fans wa Simba huwa wanaishia kuwasema Tu wachezaji wao. Nyinyi huwa mnawarushia makopo wachezaji wenu walioflop. Akina Sarpong walipata shida Sana sijui Wewe uto kumbukumbu unatunza Kwa kutumia nini.Na ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Maana dakika 0 tu wamebadilika. Wanaweza wakakusifia mpaka ukashangaa, halafu ghafla tu wanaanza kukusimanga na kukuponda.
Leo John Bocco anasifiwa! Lakini huwezi kuamini miezi michache iliyopita walivyokuwa wakimtukana himu jukwaani.