Vigezo na mashariti viwekwe wazi ili kila mtu awe na equal chance ya kupanda ndege kama akitimiza vigezo na mashariti hayo.Uwe na mchango mkubwa katika hiyo Sector
Kufahamiana, watu walienda na michepuko yao ndio maana tukafungwa.. hovyo sanaRais Samia katika jitihada za kukuza michezo nchini alitoa ndege ya bure kwa wachezaji na wadau wa soka nchini kwenda Algeria kuipa hamasa Yanga ya kupambana...
Wanaoweza kujihudumia huko waendako wako wengi, ni kigezo gani kimetumika kuwatambua na kuwachagua wenye uwezo wa kujihudumia huko waendako? Rushwa ya ngono, ahadi au mali? dini, kabila au kuwa mwanachama hai? what was what?Utaweza kujihudumia huko uendako