Msimu huu Watanzania wana furaha sana

Msimu huu Watanzania wana furaha sana

godknows

Member
Joined
Apr 7, 2016
Posts
29
Reaction score
47
Habari ndugu zangu, ujue dunia inaenda kasi sana.

Ni muda mrefu taifa letu limekuwa linalililia uwakilishi wa vilabu vyetu kimataifa.

Hatimaye Mungu amekisikia kilio cha watanzania baada ya muda mrefu. Hii picha hapo chini nitawezaje kuwaeleza kwamba YANGA waliweza kuwa kwenye picha hii?

Ndo hilo tu ndugu zangu, MUNGU akiamua kuwajibu watu, unaweza kutoa machozi ya furaha.

Msimu huu watanzania wana furaha sana.

IMG_20230521_150116.jpg
 
Kwaiyo caf waka waweka mabingwa upande wa kushoto wote afu washindi wa pili upande wa kulia ila caf bhana
 
Msimu huu Mashabiki wa mnyama hatutapumua. Hadi uje uishe tuanze msimu mwingine Yanga apigwe ngao ya jamii halafu mashindano ya CAF aondolewe hatua za awali tutakuwa tumeshakonda kisawasawa kwa hizi shobo za uto.
 
Ndio raha ya kukopesha shombo, na wewe utalipwa kwa kipimo kile kile.
Na hapo kwenye ngao ya JAMII naona hayupo wa kumtetemesha Uto, si AZAM si SINGIDA.
 
Msimu huu Mashabiki wa mnyama hatutapumua. Hadi uje uishe tuanze msimu mwingine Yanga apigwe ngao ya jamii halafu mashindano ya CAF aondolewe hatua za awali tutakuwa tumeshakonda kisawasawa kwa hizi shobo za uto.
Hadi wewe umesalenda na maneno yako ya ovyo... FAMASIALA NINI [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom