Caf wanajua mkuu, wanajua hawa ndo watacheza supercupKwaiyo caf waka waweka mabingwa upande wa kushoto wote afu washindi wa pili upande wa kulia ila caf bhana
Tunaombea iwe hivyo, ila hapo wamewekwa kushoto kwa sababu wanaanzia home.Caf wanajua mkuu, wanajua hawa ndo watacheza supercup
Ndio raha ya kukopesha shombo, na wewe utalipwa kwa kipimo kile kile.Msimu huu Mashabiki wa mnyama hatutapumua. Hadi uje uishe tuanze msimu mwingine Yanga apigwe ngao ya jamii halafu mashindano ya CAF aondolewe hatua za awali tutakuwa tumeshakonda kisawasawa kwa hizi shobo za uto.
Hadi wewe umesalenda na maneno yako ya ovyo... FAMASIALA NINI [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msimu huu Mashabiki wa mnyama hatutapumua. Hadi uje uishe tuanze msimu mwingine Yanga apigwe ngao ya jamii halafu mashindano ya CAF aondolewe hatua za awali tutakuwa tumeshakonda kisawasawa kwa hizi shobo za uto.
Mkuu , mbona unanicheka? Nimekosa nini mye?Hadi wewe umesalenda na maneno yako ya ovyo... FAMASIALA NINI [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]