DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wakuu, msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026 unakaribia kuanza huku joto la soka likizidi kupanda. Kila shabiki ana matumaini, kila timu inajiandaa, lakini swali ni moja, nani watatamba msimu huu, na nani atasindikiza wenzake hadi kushuka daraja?
Kwa usajili, tetesi na maandalizi ya vikosi, benchi la ufundi na mwenendo wa misimu ya hivi karibuni, hizi hapa timu nne (Top 4) zinazotarajiwa kutawala ligi msimu ujao. Simba, Yanga, Singida Blackstars na Mbeya city hizi ndio timu zangu za juu kwa msimu ujao na Mashujaa atashuka daraja.
Wewe je, tuheshimu maamuzi ya watu.