Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Watavaa jezi za zamani
Pengine wanataka kuzindua jezi pamoja na duka lao kwa pamoja.
Watafanyaje Sasa[emoji3][emoji3]Watakuwa wamekosea sana
Watavaa suti na raba[emoji16]
Pale tulipowaambia kuwa GSM hawatoi Jezi Mpya mpaka za zamani ziishe lakini Utopolo wakabisha je?
Sasa ya GSM yafumbieni macho endeleeni kukomaa na 20B za MO
Watafanyaje Sasa[emoji3][emoji3]
Hv ikifika Xmas fundi hajamaliza kushona gauni la binti yako, ndo kusema siku hiyo binti hatavaa nguo nyingine iliyopo??Mpaka hapa ninavyoandika, jezi ya Yanga haijulikani na wanafungua msimu kwa kucheza na Prisons baadae usiku kwa Mkapa, je mashabiki wenzangu wa Yanga manlichukuliaje suala hili?
Jezi ya Yanga ni jezi halisi ata GSM wakikaa miaka 3 bila kutoa jezi bado inaonekana ni jezi Bora. Jezi mpya ya GSM ya mwaka Jana huwezi kufananisha na jezi ya MO toleo jipya. MO anatengeneza matambara anayauza elfu Tano Bei ya jumla. GSM jezi yao ni quality yenye ubora wa kutosha.
Hv ikifika Xmas fundi hajamaliza kushona gauni la binti yako, ndo kusema siku hiyo binti hatavaa nguo nyingine iliyopo??
Una uchungu sana na mapato usiyojua yanafanya nini! Mipira ya bongo nmhaina tofauti na mipira ya Condom...punguza emotions!!Hujui jinsi gani klabu itapoteza hela sokoni, acha mambo ya magauni wewe
Una uchungu sana na mapato usiyojua yanafanya nini! Mipira ya bongo nmhaina tofauti na mipira ya Condom...punguza emotions!!
Poa mkuu umeshinda, jipigie makofi basi[emoji23][emoji23][emoji23]Kakate viuno, huna unalojua!