Msimu Mpya wa VPL unaanza leo lakini Jezi ya Yanga haijulikani mpaka leo?

Msimu Mpya wa VPL unaanza leo lakini Jezi ya Yanga haijulikani mpaka leo?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mpaka hapa ninavyoandika, jezi ya Yanga haijulikani na wanafungua msimu kwa kucheza na Prisons baadae usiku kwa Mkapa. Je, mashabiki wenzangu wa Yanga mnalichukuliaje suala hili?
 
Mpaka hapa ninavyoandika, jezi ya Yanga haijulikani na wanafungua msimu kwa kucheza na Prisons baadae usiku kwa Mkapa, je mashabiki wenzangu wa Yanga manlichukuliaje suala hili?
Hv ikifika Xmas fundi hajamaliza kushona gauni la binti yako, ndo kusema siku hiyo binti hatavaa nguo nyingine iliyopo??
 
Jezi ya Yanga ni jezi halisi ata GSM wakikaa miaka 3 bila kutoa jezi bado inaonekana ni jezi Bora. Jezi mpya ya GSM ya mwaka Jana huwezi kufananisha na jezi ya MO toleo jipya. MO anatengeneza matambara anayauza elfu Tano Bei ya jumla. GSM jezi yao ni quality yenye ubora wa kutosha.

Tangu lini mo akatengeneza jezi bro, tumia basi walau vizuri akili ndogo uliyonayo
 
Hujui jinsi gani klabu itapoteza hela sokoni, acha mambo ya magauni wewe
Una uchungu sana na mapato usiyojua yanafanya nini! Mipira ya bongo nmhaina tofauti na mipira ya Condom...punguza emotions!!
 
Back
Top Bottom