Msimu ujao ni mgumu sana kwa baadhi ya timu......

Msimu ujao ni mgumu sana kwa baadhi ya timu......

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,348
Reaction score
1,805
Soccer na mapenzi ni vitu ambavyo vinashabihiana sana sababu ni vitu ambavyo tunatumia akili na moyo katika kupenda na kuchagua Manchester utd walimuacha Paul Pogba wakiwa wanampenda na siku zote Paul Pogba alikuwa kwenye mioyo yao na fikra zao .

Man utd walimtamani sana Paul Pogba kwa kila alichokifanya katika league ya serial A akiwa na club ya Juventus na mwisho wa siku penzi lina nguvu kuliko umeme Paul Pogba amerudi Old Traford chini ya Jose Mourinho .Welcome back where you belongs Paul Pogba.

Nina hamu sana ya EPL sababu nataka nijue ubora na utamu wa Josep "Pep" Guardiola ,Jose Mourinho,Jurgen Klopp, Antonio Conte na nataka kujua season hii Arsene Wenger atabaki top four kwa ujio wa hawa macoach wapya ?

Mungu akitupa uzima na afya nataka kujua thamani ya Paul Pogba itaendana na kiwango chake katika league ya EPL au Ngolo Kante atakuwa bora kama alivyokuwa Lecister city ?Soccer small word, easy to spell, difficult to understand, IMPOSSIBLE to live without. #GGMU+ #SoccerManiac
 
Back
Top Bottom