Bungukwetu
Member
- Jan 24, 2017
- 34
- 14
Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KeshoMwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply.
Huku kwetu mwezi 11.Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply.
AsanteMwezi wa 10 kwa pwani..! Kanda ya ziwa hope wao wanawahi mapema..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu nyingi, ila sanasana nilipoziona mimi mwaka jana na mwaka juzi ni Njia ya kwenda Msumbiji kupitia mpaka wa Mitomoni kisha