Msimu wa MAHAFALI za kidato Cha NNE ndio huu, tupe kumbukumbu yako.

Msimu wa MAHAFALI za kidato Cha NNE ndio huu, tupe kumbukumbu yako.

Da Gladiator

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
1,641
Reaction score
2,646
Habarini za mchana,
Ijumaa nilipokea mwaliko wa kuhudhuria MAHAFALI ya kidato Cha NNE huku nyanda za juu, kiukweli nimekumbuka mengi sana.
1.KWAYA
"Haikuwa rahisi kuifikia siku hii yenye mafanikio, oooh tazama.. tazama wote kwa shangwe furaraha nasema Asante Mungu baba"
Kama kuna anaekumbuka amalizie
2.MAIGIZO
3.MAZINGAOMBWE
4.KUIGIZA SAUTI ZA WALIMU(daah)

Wewe unakumbuka Nini, karibuni
 
Back
Top Bottom