Lipijema JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 830 Reaction score 1,223 Aug 30, 2019 #1 Ningependa kuwajulisha wakulima wenzangu wa kanda hii ya ziwa hususa mikoa ya Kagera na Geita ya kuwa tuzitumie hizi neema kwa kuanza kupanda.
Ningependa kuwajulisha wakulima wenzangu wa kanda hii ya ziwa hususa mikoa ya Kagera na Geita ya kuwa tuzitumie hizi neema kwa kuanza kupanda.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 30, 2019 #2 Lipijema said: Ningependa kuwajulisha wakulima wenzangu wa kanda hii ya ziwa hususa mikoa ya Kagera na Geita ya kuwa tuzitumie hizi neema kwa kuanza kupanda. Click to expand... HATUPANGIWI
Lipijema said: Ningependa kuwajulisha wakulima wenzangu wa kanda hii ya ziwa hususa mikoa ya Kagera na Geita ya kuwa tuzitumie hizi neema kwa kuanza kupanda. Click to expand... HATUPANGIWI
Lipijema JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 830 Reaction score 1,223 Aug 30, 2019 Thread starter #3 Retired said: HATUPANGIWI Ni ushauli tu ndugu! Click to expand...
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Aug 30, 2019 #4 Hongereni sana,huku kwetu bado hakuna hata dalili...
milionea wa kesho JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 328 Reaction score 631 Aug 30, 2019 #5 Mkoani morogoro hasa ifakara na turiani msimu huwa unaanza lini
tinkanyarwele JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 2,016 Reaction score 1,946 Sep 5, 2019 #6 Shukrani sana mkuu ngoja tutoe mbegu nje