Msimu wa mvua umeanza

Msimu wa mvua umeanza

Lipijema

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
830
Reaction score
1,223
Ningependa kuwajulisha wakulima wenzangu wa kanda hii ya ziwa hususa mikoa ya Kagera na Geita ya kuwa tuzitumie hizi neema kwa kuanza kupanda.
 
Hongereni sana,huku kwetu bado hakuna hata dalili...
 
Back
Top Bottom