Msimu wa senene ndiyo umeanza Bukoba

Tena umenikumbusha! Hivi senene hutokea wapi? Ardhini au wanatokea juu? Msingi wa shwali hili ni kwamba senene wanaweza kuwa eneo moja tu na kijiji/ mtaa wapili hawapo! Mahali walipo wanakuwepo wanaoruka juu na chini wanakuwepo wengi! Wanatokea wapi?
 
Wana tokea sehemu za sudan na uganda wana kuwa wanatafuta chakula na maji wengi wana ishia uganda na bukoba misenyi na bukoba vijijini senene wanakuwa juu wametanda mamilioni kwa milioni ila asubuhi wanakuwa chini mda mzuri wa kuwa kamata ni usiku
 
Nilikua siwapendi ila mwaka huu nimejifunza kuwala nimejikuta hadi nawamiss asee.. never say neve..one clever woman said that
 
Hiv hao senene hutoka wap .

Kwa nini hawaanguki dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…