Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Kwa wale wanaopenda kuwekeza katika senene, Bukoba msimu ndio umeanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana tokea sehemu za sudan na uganda wana kuwa wanatafuta chakula na maji wengi wana ishia uganda na bukoba misenyi na bukoba vijijini senene wanakuwa juu wametanda mamilioni kwa milioni ila asubuhi wanakuwa chini mda mzuri wa kuwa kamata ni usikuTena umenikumbusha! Hivi senene hutokea wapi? Ardhini au wanatokea juu? Msingi wa shwali hili ni kwamba senene wanaweza kuwa eneo moja tu na kijiji/ mtaa wapili hawapo! Mahali walipo wanakuwepo wanaoruka juu na chini wanakuwepo wengi! Wanatokea wapi?