Msimu wa "twisheni" na vibinti vyetu , Majanga kila kona!

Msimu wa "twisheni" na vibinti vyetu , Majanga kila kona!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Twisheni au Masomo ya ziada ni jambo la kawaida hapa Tanganyika na sasa limeshuka mpaka shule za "vidudu".
Wazazi wamekuwa wavivu kuwafunza watoto wao stadi za maisha na sasa wanapeleka wakalelewe na "yaya".

Ukipitita mitaa ya Mwenge Stendi Mpya, Kigogo Sambusa na Kariakoo , kwenye vijiwe vya "twisheni" unaweza kulia hasa kama wewe ni mzazi na una watoto.
BIKRA: Watoto wa umri wa miaka 14-18 wa kike ndio wanavunja ungo, wazazi wanawaacha waende the so called "twisheni" , huko hawa watoto hawavai "sidiria" hivyo vimaziwa vyao vilivyosimama vinaonekana na wenine wanavaa nguo transparent, chuchu zinaonekana na matokeo yake, si walimu , si bodaboda wanaanza kuwatongoza wakijua mtoto "ameiva".

UZINZI: Hawa watoto wanapelekwa sana magetoni, wazazi chunguzenina huu ndio msimu wanatolewa sana bikra, na kumbuka huku mjini hakunaga mimba, baada ya tendo watoto wanatumia P@, na wanayofanya ni yale ya kwenye picha za wasani wa bongo fleva akina jiggy money, yaani ni fedheha!

USHAURI:WAzazi kaeni na watoto, kipindi chalikizo mtito akae na familia, ajifunze skills na ujirani. Akiwa shule asome, haya masomo ya ziada hayasaidii kiru!
 
Back
Top Bottom