love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Ni swali ambalo nazani ni la mhimu kujiuliza kwa waamini wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msingi mkuu wa ni Ukweli usio na mawaa kisha huzalisha Imani, kisha huleta Hofu itokanayo na kuogopa kuvunja amri kuuu na makatazo na adhabu zilizo ahidiwa. Na mwisho huleta matarajio ya Furaha yaliyoahidiwa na Mungu wetuNi swali ambalo nazani ni la mhimu kujiuliza kwa waamini wote
Uko sahihi nilihitaji kujua mawazo ya wadau...Kwahy umeshindwa ku explain ht kdg hivi tukisema wote tuulize kama ww patatosha hapa?
Well said.. MashaAllah, wengi bado kuwa na hayo...Msingi mkuu wa ni Ukweli usio na mawaa kisha huzalisha Imani, kisha huleta Hofu itokanayo na kuogopa kuvunja amri kuuu na makatazo na adhabu zilizo ahidiwa. Na mwisho huleta matarajio ya Furaha yaliyoahidiwa na Mungu wetu
Ukweli kwa maana ipi?Msingi mkuu wa ni Ukweli usio na mawaa kisha huzalisha Imani, kisha huleta Hofu itokanayo na kuogopa kuvunja amri kuuu na makatazo na adhabu zilizo ahidiwa. Na mwisho huleta matarajio ya Furaha yaliyoahidiwa na Mungu wetu
tunahitaji kujua ukweli huo bila ya kuacha chembe ya shaka yeyoyote.Msingi mkuu wa ni Ukweli usio na mawaa kisha huzalisha Imani, kisha huleta Hofu itokanayo na kuogopa kuvunja amri kuuu na makatazo na adhabu zilizo ahidiwa. Na mwisho huleta matarajio ya Furaha yaliyoahidiwa na Mungu wetu