Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wanasiasa wa Tanzania (CCM wakiongoza) ni wabinafsi kuliko jamii nyingine yoyote duniani.Huwaga nashindwa kuelewa.
Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanyinge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa.
Mbaya zsidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe.
Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
Wanasheria mliomo humu JF, tunawezaje ku petition ili suala hili liweze kufikishwa kunako husika na sheria zibadilishwe?Wanasiasa wa Tanzania (CCM wakiongoza) ni wabinafsi kuliko jamii nyingine yoyote duniani.
Huwaga nashindwa kuelewa.
Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanyinge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa.
Mbaya zsidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe.
Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
siyo wana siasa sema viongozi wa serikali na ccmHuwaga nashindwa kuelewa.
Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanyinge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa.
Mbaya zsidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe.
Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
Yaani iko hivi wao ndio walioandika mpini wa maamuzi ndio maana Tanzania mtu kuacha taaluma yake Kama ualimu,uhandisi,udaktari au ufundi ili akafanye siasa ni mafanikio anakua ameukata au wanasema ametoboa zaidi hata wafanyabiashara na viongozi wa dini wanaenda huko kulinda maslahi yao binafsi kimsingi Tanzania siasa sio huduma na mchongo au diliHuwaga nashindwa kuelewa.
Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanyinge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa.
Mbaya zsidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe.
Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
Issue ni kuanza na katiba bora itakayokua kwaajili ya wananchi yaani katiba itakayopeleka mamlaka,wajibu,haki na nguvu kwa wananchi kusimamia na kuamua juu mustakabali wa nchi yaoWanasheria mliomo humu JF, tunawezaje ku petition ili suala hili liweze kufikishwa kunako husika na sheria zibadilishwe?
Wanasiasa wa afrikaSio CCM tu ni Wanasiasa Wote. Ndio hulka yao.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Wapo ajili ya kupiga pesa na siyo kusaidia jamiiHuwaga nashindwa kuelewa.
Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanyinge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa.
Mbaya zsidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe.
Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
Tunajitengenezea ukoloni ndani ya nchi yetu kwa hizi sera na sheria mbovu za Bunge.Huwaga nashindwa kuelewa.
Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanyinge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa.
Mbaya zsidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe.
Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
Wanasheria mliomo humu JF, tunawezaje ku petition ili suala hili liweze kufikishwa kunako husika na sheria zibadilishwe?Wanasiasa wa Tanzania (CCM wakiongoza) ni wabinafsi kuliko jamii nyingine yoyote duniani.
Kweli mkuu, tunatengeneza tabaka ka watawala watakaoirthi nchi.Tunajitengenezea ukoloni ndani ya nchi yetu kwa hizi sera na sheria mbovu za Bunge.
Ukweli ndiyo huo.Wanasheria mliomo humu JF, tunawezaje ku petition ili suala hili liweze kufikishwa kunako husika na sheria zibadilishwe?
Kweli mkuu, tunatengeneza tabaka ka watawala watakaoirthi nchi.
Sasa hivi Rais Mwinyi na mwanae Rais Mwinyi.
Huko mbele inaelekea tutaoata Rais Kikwete mwingine.
Mwalimu hakutuacha hivi, kutengeneza koloni la viongozi.