Msingi wa honeymoon ni upi?

Kwenye angle ip ya kuozeana maana sio sex tu
Ukitulia unakua na akili sana

Binafsi siwezi kuoa mwanamke tuliekwisha zoeana sana, naitaji wa two weeks uchumba the other week ndoa ili kupata experience mpya
 
Nimeshavunja tepe nyingi tu ila😂Tatzo basi sijajipata kwenye" income" watu wanadai mahari million 5 😂Kwahyo ntaendelea kusikiza wimbo wa mwanafA bado" nipo nipo kwanza"
kama ulivunja utepe na hujaoa basi haina haja ya kutafuta mwenye utepe
 
Nimeshavunja tepe nyingi tu ila[emoji23]Tatzo basi sijajipata kwenye" income" watu wanadai mahari million 5 [emoji23]Kwahyo ntaendelea kusikiza wimbo wa mwanafA bado" nipo nipo kwanza"
sasa hapo sidhani kama una haja tena na utepe
 
Mapenzi ni mada pana haitabiriki wala haileweki 😁. Unaweza oa huyo bk ili mkazoeane ndani lkn baada ya miaka kumi ishirini mtachokana tu na mazoea yakawa pale pale. Unaweza oa mliyekaa mapenzini miaka 6, mkiingia ndoani Kuna upya fulani hv ila baada ya miaka 10 mtachokana mazoea vile vile. Cha msingi kikuu mdumishe upendo basi na mfuate misingi ya kudumisha upendo. Haijalishi umeoa bk au umeoa baada ya kurina asali... Usipokuwa makini mtachokana tu 🤐
 
Kimsingi hili nalo litizamwe japo kua wadau wengi wanasema bora kupima oil kujuana tu mapema ukajua madhaifu yake kiundani aidha utamudu visima na mabwawa😂ya kuzalisha umeme wa mgao ni muhimu
Hizi spana za Moto😅😅
 
Kimsingi hili nalo litizamwe japo kua wadau wengi wanasema bora kupima oil kujuana tu mapema ukajua madhaifu yake kiundani aidha utamudu visima na mabwawa😂ya kuzalisha umeme wa mgao ni muhimu
Hizi spana za Moto😅😅
😂Watu wanakwambia bola upime oil ujue Sio unazuiwa gari ukifika tosamaganga engine inaanza "kujumper" pwata pwata
 
Kwamba hakuna jipya chini ya jua hivi na wale wanaokua wamezalishana huwa nao wanaenda honey moon kufanya nini?? Kama ni kubadili mazingira sawa
huenda ni kubadilisha mazingira na halafu wengi saivi ni siku moja au mbili tu wanarudi kwenye msoto kama kawaaida 🐒
 
Siku hizi wadada ndio tunaogopa kuuziwa mbuzi kwa gunia

Imagine unaolewa bila ku test kumbe mwanaume shoga haisimami

Au mwanaume ana kidudu kama cha mtoto

Hii inaogopesha

Japo natamani nitaeoana nae tukulane siku ya honeymoon[emoji4]
 
Siku hizi wadada ndio tunaogopa kuuziwa mbuzi kwa gunia

Imagine unaolewa bila ku test kumbe mwanaume shoga haisimami

Au mwanaume ana kidudu kama cha mtoto

Hii inaogopesha

Japo natamani nitaeoana nae tukulane siku ya honeymoon[emoji4]
Yan uhondomorwe na wengine afu mwingine ndo umsubirishe hadi ndo
 
Soma kitabu kiitwacho Bustani zenye manukato
 
Nimecheka sana kwa thread hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…