Hakuna mambo yanachekesha kama harusi nyingi za miaka hii🤣 wazazi wenu wanajua hamjawahi "kushenyentana" Wanajua mnaenda honey moon kufunguana kwa mara ya kwanza kumbe movie mlishaicheki hadi mmechoka kuitazama
Lakini nakiri swala la kunyanduana halafu ndio watu wanaoana badala ya kuonana kwanza ili pia linachangia ndo nyingi kuvunjika
Kiasili mwanadamu kaumbwa Kuchoka mtu anaingia kwenye ndoa kashaujua undani mwisho wa siku yanakuja mazoea, mazoea yanazalisha kutaka kujaribu vitu vipya
Sasa unakuta Ile siku ya honeymoon😂mnajuana kabisa hapa ni tackle Tatu "pwaah" kwisha(jokes)
Kimsingi hili nalo litizamwe japo kua wadau wengi wanasema bora kupima oil kujuana tu mapema ukajua madhaifu yake kiundani aidha utamudu visima na mabwawa😂ya kuzalisha umeme wa mgao ni muhimu
Naomba kuwasilisha "wanaosema kuoa mabikra wanahoja wasikilizwe kuna heshima sana kuvunja utepe mwenyewe sio unakabidhiwa nyumba ilishavunjwa utepe na wapangaji🤣Tena wewe mwenye nyumba unaanza kutoa hela matengenezo