ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Mimi nimesoma kimoja tu kamandaNawasalimu nyote, Naomba tu niulize hili swali chokonozi hapa.
Hivi umesoma vitabu vingapi tangu January hii? Vinaitwaje?
Mimi siku hizi nimepunguza kusoma vitabu, ila nimeshasoma vitabu vingi sana vya kitaaluma na vya ziada, self help, dini, hadithi za Shigongo na kadhalika. Mpaka sasa, yawezekana nimeshasoma vile vitabu vikubwa mia na ushehe!Nawasalimu nyote, Naomba tu niulize hili swali chokonozi hapa.
Hivi umesoma vitabu vingapi tangu January hii? Vinaitwaje?
Maisha ndugu yangu,najiwezesha hapa.Mkuu umeanza lini kazi TWAWEZA?!!!!
Mkuu unanidondosha(in ......voice)nimesema tangu mwaka uanze sasa wewe unahesabu mpaka vya juma na roza.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].Mimi siku hizi nimepunguza kusoma vitabu, ila nimeshasoma vitabu vingi sana vya kitaaluma na vya ziada, self help, dini, hadithi za Shigongo na kadhalika. Mpaka sasa, yawezekana nimeshasoma vile vitabu vikubwa mia na ushehe!
Sekondari nilikuwa na mabegi makubwa matatu yaliyojaa vitabu, ili kuwa ni kuvisoma kwa kwenda mbele!
Nimejibu jibu lako kwenye sentensi ya kwanza. Siku hizi sisomi vitabu kwa sababu kila nikisoma sioni kipya. Hata nilianza masterz chuo flani nikaacha baada ya kuona yote ninayofundishwa nayajua πππ na hata kwenda kanisani naenda tu mda wa kutoa sadaka kwa kuwa yale yanayohubiriwa nimeshayajua πππ. Kifupi ubongo wangu umeshafikia mwisho wa 'absorption rate'... So hapo nikakupa sababu kuwa huko nyuma nimeshasoma vitabu vingi mno (Kuna watu eti mda huu ndio wanasoma vitabu vya Ben Carlson vya Think big na Gifted hands, mimi hivyo vitabu nilivisoma form two, mwishoni wa miaka ya tisini)... Chuo kikuu cha mlimani ukienda pale Library kuanzaia kule library ya basement ya law mpaka kule juu kabisa kwenye library ya Esat African vitabu vyote kule nishavisoma karibia vyoteee π³π³π³. Yan nimesoma hata vile ambavyo havinihusu.Mkuu unanidondosha(in ......voice)nimesema tangu mwaka uanze sasa wewe unahesabu mpaka vya juma na roza.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].
Anza tu hujachelewaDu!hii aibu sasa!sijasoma hata kimoja,yaani hata Biblia!!Mungu nisamehe.
Hapo inabidi tu Nichumu uniruhusu kukuchumu,ila uwezo bado unao tena mkubwa kuliko unavyofikiria.Nimejibu jibu lako kwenye sentensi ya kwanza. Siku hizi sisomi vitabu kwa sababu kila nikisoma sioni kipya. Hata nilianza masterz chuo flani nikaacha baada ya kuona yote ninayofundishwa nayajua πππ na hata kwenda kanisani naenda tu mda wa kutoa sadaka kwa kuwa yale yanayohubiriwa nimeshayajua πππ. Kifupi ubongo wangu umeshafikia mwisho wa 'absorption rate'... So hapo nikakupa sababu kuwa huko nyuma nimeshasoma vitabu vingi mno (Kuna watu eti mda huu ndio wanasoma vitabu vya Ben Carlson vya Think big na Gifted hands, mimi hivyo vitabu nilivisoma form two, mwishoni wa miaka ya tisini)... Chuo kikuu cha mlimani ukienda pale Library kuanzaia kule library ya basement ya law mpaka kule juu kabisa kwenye library ya Esat African vitabu vyote kule nishavisoma karibia vyoteee π³π³π³. Yan nimesoma hata vile ambavyo havinihusu.