Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
πππHapo inabidi tu Nichumu uniruhusu kukuchumu,ila uwezo bado unao tena mkubwa kuliko unavyofikiria.
Majina tafadhali.Sita
Za kirumi hujaanza?Mie sasa niko za kichina.Mimi sijasoma chochote zaidi ya kuisoma namba
Matajiri wakubwa duniani.hivi mnao soma vitabu huwa mnataka kuja kuwa kina nan?
mi nasoma magazet tu sku hizi
ako=yukoMatajiri wakubwa duniani.
Ushakutana na msee ako above 45 amekaa kwa mobb anaanza kuimagine siku akue ni mdosii..zet wareres
Ivo ndivyo si uongea joo..ako=yuko
hahahahMatajiri wakubwa duniani.
Ushakutana na msee ako above 45 amekaa kwa mobb anaanza kuimagine siku akue ni mdosii..zet wareres
Buda mi MK mathe ametokea mlolongo.hahahah
wew umekuwa mtu wa Kenya toka lin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi sijasoma chochote zaidi ya kuisoma namba
hahahaaBuda mi MK mathe ametokea mlolongo.
[emoji23][emoji23]mimi kwetu namtumbo bwana
Aseeh kusema kweli vitabu nasoma kwa kuotea ile kujiwekea ratiba sina.hahahaa
una wawezea sana wakenya
nikajua ndio umekuja na resolution mpya.
haya jitahid uwe una soma vitab sasa
Kwa hicho utakawia mno,btw hata mie nakihitaji mkuu.Mimi tangu mwezi wa kwanza mpaka sasa bado nakisoma kitabu cha Salman Rushdie kinaitwa Satanic Verses. Mpaka leo bado sijakimaliza.
Mkuu madini hayapatikani kirahisi ujue,wachimba makaburi wangetajirika,kazana.Aseeh kusema kweli vitabu nasoma kwa kuotea ile kujiwekea ratiba sina.
Mavitabu mengine yanakera unakuta lina pages 600 700 1000