Ni kweli na kusoma ndiyo njia mojawapo kubwa ya kuongeza kitu kichwaniMkuu madini hayapatikani kirahisi ujue,wachimba makaburi wangetajirika,kazana.
hahahaAseeh kusema kweli vitabu nasoma kwa kuotea ile kujiwekea ratiba sina.
Mavitabu mengine yanakera unakuta lina pages 600 700 1000
Thanks a lot madam,nilikuwa natafuta hiyo fact tu basi.Watanzania wengi hatuna utaratibu wa kujisomea vitabu.
Hivi havijatungwa mkuu,unatudanganya zaidi ya wote.Makinikia, Escrow, IPTL, Hostel UDSM, na nasubiri vingine
Nasikia ukitaka kumficha kitu mtanzania kiweke kwenye kitabu,kumbe kweli[emoji23][emoji3][emoji16]siku hizi hata mwanafunzi anapenda Google.Ni kweli na kusoma ndiyo njia mojawapo kubwa ya kuongeza kitu kichwani
Basi utakuwa well informed kuhusu Lisu na Mange.hahaha
mi kila nikisoma nasnzia kshenz halaf najikuta tu nimeingia jf kuperuz kitab natupa huko
Chezea allowance mkuu,lazima ripoti iandikwe hapa,weka vitabu ulivyo soma bana.Mtafiti wa twaweza naona upo field hahaha
Hahaha sawa vya kizungu au vya kibongoChezea allowance mkuu,lazima ripoti iandikwe hapa,weka vitabu ulivyo soma bana.
Chochote mkuu weka tu,muhimu iwe mwaka huu.Hahaha sawa vya kizungu au vya kibongo
hahahaBasi utakuwa well informed kuhusu Lisu na Mange.
Hilo ni swali la kesho Iceman, usiwe na haraka Twaweza ipo kazini.hahaha
sawa wanao soma wana tofaut gan
Tough Times Never Last, but Tough People Do! by Robert H. Schuller ... na umuhimu wa maono by Jacob MushiChochote mkuu weka tu,muhimu iwe mwaka huu.
wow, your welcome.Thanks a lot madam,nilikuwa natafuta hiyo fact tu basi.
Asante,yaani ungeniangusha mkuu utafiti usingesimama kabisa huu,ningeambiwa cooked data.Tough Times Never Last, but Tough People Do! by Robert H. Schuller ... na umuhimu wa maono by Jacob Mushi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo ni swali la kesho Iceman, usiwe na haraka Twaweza ipo kazini.
Kwa nini mkuu iwe cooked dataAsante,yaani ungeniangusha mkuu utafiti usingesimama kabisa huu,ningeambiwa cooked data.