Msiniulize kuhusu picha ya 2Pac Shakur, THIS IS ME!

Msiniulize kuhusu picha ya 2Pac Shakur, THIS IS ME!

Wanajamvi,

Kila mara nikiweka picha yangu halisi, member wengi huwa wananishauri nirudishe ya Tupac, sasa nimeona niachane na utumwa wa kukaa kivulini,nimeweka avatar ya picha yangu halisi! God is great! Kama kuna wasioipenda, wale ambao wanafuatilia maoni yangu na kuyapenda, na wanataka nirudishe ile ya Tupac Shakur, tujulishane[emoji1488][emoji7]
tupo macho
 
Acha kumuonea wivu.. kwanini umtaje tajeeee hivi.. ha ha haaaaaa

Unajua ni kiongozi wa watu wanaoishi majuu ya nchi za juu humu na duniani kwa ujumla.. au umesahau cheo chake humu.. wengi wanakionea wivu sanaaaaaa
I don’t know him.
 
😀 😀😀😀😀!! Mimi Mchaga original hanipotei kabisa kwa sababu nimekaa nao sana! Wengine wanawatambua Wachaga kwa lafudhi (wale wenye lafudhi ya Kichaga) lakini mimi nawatambua kwa kuwaona tu!! Nime-mingle sana na akina Kimaro, Mushi, Massawe, Kimario, Lyimo , Tarimo na akina Shayo!!
Kwani wachagga ni foreigners?
 
jmushi1: umetukana kwa kiingereza hadi maneno yote yakaisha, umeanza kutumia maneno ya kiswahili yakiisha utaanza kutumia maneno ya kichaga hadi akuelewe
 
Hizi koments za humu! Leo nimejifunza matusi ya kiinglishi from the Legends themselves...
the.unpaid.writer_50809197_438908953313986_8383862058184751070_n.jpg
 
Humu? Au huku? Na humu nimeshakutana na watu kikazi na ambao nafanya nao kazi FYI

Hongera sana. Hiyo FYI haikukubidi kuiandika.. kwa sababu nimekuuliza swali kutokana na unayoandika.. so jifunze kuwa na lugha isiyo ya kujihami au kuonyesha kama vile mtu amekuuliza kiswari.. inashusha mengi kwako au niseme juu yako. Kila la kheri..
 
Hongera sana. Hiyo FYI haikukubidi kuiandika.. kwa sababu nimekuuliza swali kutokana na unayoandika.. so jifunze kuwa na lugha isiyo ya kujihami au kuonyesha kama vile mtu amekuuliza kiswari.. inashusha mengi kwako au niseme juu yako. Kila la kheri..

Muulize akupe maana yake yawezekana hujaelewa maana ya FYI.
 
Ngoja hizi pombe ziishe mkuu

Kesho utajilauma sana

Nipo hapa nasema hivi

Nipo hapa [emoji28]
Uzi wamejazwa na watu watatu

Sijui wanaongea lugha gani

Nimeona neno pusi sehemu nyingi

Sasa paka anakujaje hapa

Acheni hizo bwana wanyama waheshimiwe
..................[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona wachaga huwa hatutukani hivi?,,, ila nimejifunza matusi mapya ila tu pakutukania sasa ndo kazi
 
Back
Top Bottom