Msiniulize kuhusu picha ya 2Pac Shakur, THIS IS ME!

tupo macho
 
Acha kumuonea wivu.. kwanini umtaje tajeeee hivi.. ha ha haaaaaa

Unajua ni kiongozi wa watu wanaoishi majuu ya nchi za juu humu na duniani kwa ujumla.. au umesahau cheo chake humu.. wengi wanakionea wivu sanaaaaaa
I donโ€™t know him.
 
Kwani wachagga ni foreigners?
 
jmushi1: umetukana kwa kiingereza hadi maneno yote yakaisha, umeanza kutumia maneno ya kiswahili yakiisha utaanza kutumia maneno ya kichaga hadi akuelewe
 
Humu? Au huku? Na humu nimeshakutana na watu kikazi na ambao nafanya nao kazi FYI

Hongera sana. Hiyo FYI haikukubidi kuiandika.. kwa sababu nimekuuliza swali kutokana na unayoandika.. so jifunze kuwa na lugha isiyo ya kujihami au kuonyesha kama vile mtu amekuuliza kiswari.. inashusha mengi kwako au niseme juu yako. Kila la kheri..
 
Muulize akupe maana yake yawezekana hujaelewa maana ya FYI.
 
Ngoja hizi pombe ziishe mkuu

Kesho utajilauma sana

Nipo hapa nasema hivi

Nipo hapa [emoji28]
Uzi wamejazwa na watu watatu

Sijui wanaongea lugha gani

Nimeona neno pusi sehemu nyingi

Sasa paka anakujaje hapa

Acheni hizo bwana wanyama waheshimiwe
..................[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona wachaga huwa hatutukani hivi?,,, ila nimejifunza matusi mapya ila tu pakutukania sasa ndo kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ