Msinyimane

mhm hamuna cha bure siku hizi...ata hii starehe ambayo muumba alitoa bure imekuwa kibiashara zaidi.....
 
Jamani "msinyimane" ni neno gumu sana unapochuku wa hatua za kulitafakari,hivyo tusikurupuke kulitolea maana.
 
MWAMBIE HUYO UNAYE MPENDA

UMEPEWA BURE TOA BURE;

HAVE GOOD MOMENTS

nani kakudanganya ya kuwa hatukununuliwa kwa bei mbaya?.........kazi ya Mwenyezi Mungu...................ina gharama kubwa...........
 
Vya bure vimebaki vitatu tu:
1.mvua
2.jua
3.hewa
Vingine vyote ni gharama tu!
 
Kwanini anipe bure? Hata kama amepewa bure ila anatumia pesa kukitunza.
 
Hakuna cha bure hata waliooa wanatoa kodi ya meza!ilikikuta kinapendeza kitunze kidumu!
 
Ukitaka vya bure,kamata kuta.
OTIS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…